CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

Yani nimesoma bandiko lote la tamko la chadema nimebaki kucheka tuu!

Yani hawataki mafisadi wahukumiwe.

Hawataki wazembe wawajibishwe.

Hawataki wakwepa kodi wachukuliwe hatua..

Hawataki waliofoji vyeti wachukuliwe hatua..
 
sikuzote walizokaa kupoteza pesa ya uma then kuja na ukuta ndio nn sasa. badala wangekuja na hoja ya ufisadi kapuni au ukuaji wa kiuchumi. hawa watu ufipa wamekwisha kisiasa. zimebaki porojo tu. nazani na tv nazo walijua hilo wakasepa
Ninafikiri kwa hoja walizowasilisha wana kila sababu ya kufanya hivyo. Kama bunge limezuiwa lisionyeshwe live, then wabunge wa upinzani wanakandamizwa bungeni, na hivyo wananchi hawaujui ukweli kuhusu ukandamizaji huo kwakuwa bunge halionyeshwi live, and then mikutano ya siasa ya upinzani inazuiwa ila ya CCM inafanyika. Je tunasemaje kuhusu hali ya Zanzibar? Meza ya mazungumzo haipo. Mnafikiri hawa wafanyaje? Suala la udikiteta linaweza lisiwe issue sana, lakini haya ya msingi ni lazima yaangaliwe.
 
Mimi Nitaandaa Thread Maalumu Kwa Ajili Ya Majeruhi Na Vilema ... Kamanda Huwa Harudi Nyuma ... Msiache Kutupa Mrejesho Wa Wahanga Wa UKUTA ... Tuko Pamoja
 
Nimeupenda UKUTA. Is there any social network to join/follow ili nami niwe member wa UKUTA nakuchanhia idea zangu!!!!????
 
Mimi Nitaandaa Thread Maalumu Kwa Ajili Ya Majeruhi Na Vilema ... Kamanda Huwa Harudi Nyuma ... Msiache Kutupa Mrejesho Wa Wahanga Wa UKUTA ... Tuko Pamoja Manyumbu Malofa Na Wapumbavu ...

Lofa ni mtu mwenye kipato cha chini na tafsiri ya mtu aliyetuletea ulofa anatambulika kwa jina lodilofa,na nikukumbushe sisi siyo wapumbavu na ndiyo maana tangu kipindi cha uchaguzi tunawapinga madikteta uchwara
 
niko hapa kijiweni masela wanajilaumu buku buku ambazo walikuwa wakichangishwa na chadema sasa wanalaumu utapeli wa hii saccos .jamaani ambao bado mpo huko rudini kundini kuna mengi sana mkibaki mtalaumu sasa kuanzisha uparesheni tokomeza udikteta wakati hamfuatilii kujenga nchi nini maana ake jenga nchi ili uendeleze kizazi kijacho siasa maji taka hazisaidii
 
Wananchi tumehamasika kufanya kazi ili tujitegemee kama serikali inavyosisitiza. Nyie mnaotarajia kupata riziki kupitia CHADEMA fanyeni hiyo mikutano. Sisi hasa mie sishiriki mpaka 2020 maana hizi ni porojo poteza muda tu. Eti
Kuzira ni sawa na kufukuzwa acheni bhana,
 
Lofa ni mtu mwenye kipato cha chini na tafsiri ya mtu aliyetuletea ulofa anatambulika kwa jina lodilofa,na nikukumbushe sisi siyo wapumbavu na ndiyo maana tangu kipindi cha uchaguzi tunawapinga madikteta uchwara
Kiongozi Wa Msafara Atakuwa Nani ... Au ... Ndio Mtu Anakinukisha Halafu Yeye Anakimbilia Nje Ya Nchi Huku Wananchi Wakiishia Lupango ... Pendekezo Langu Kama Viongozi Wote Wakubwa Wa UKAWA Watakuwa Mbele Kwenye Timbwili Timbwili Itanoga Zaidi Ili Kukabiliana Na Virungu Vya FFU ... !
 
Ukitaka kuona utofauti wa mwenye akili na asiye na akili utaona tu ajenda za chama chake,kwa wasio na akili kama ccm utaona viongozi wake wanaweka utengenezaji wa bikini na vitenge kama kipaombele kwa wanachama wake
duh
 
CCM haiwezi kuondolewa madarakani kwa upuuzi kama huu. Njia pekee ya kuiondoa CCM ni kuimarisha chama hasa katika ngazi za shina kijiji kwa kijiji. Lakini sio kwa kufanya maandamano mijini na kufuja ruzuku ya chama
 
ruly this is a messy, Nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho nikitafuta jambo ambalo kwa hilo Tanzania itapata majawabu ya kiuchumi, uchumi utapeleka watu shule, watu wakienda shule watadaka fursa zaidi za maendeleo, watakuwa na uwezo mpana wa kuchambua hoja za wanasiasa, ili mwenye hoja ya maana ajulikana na walio wengi.

Badala yake, document nzima imebeba dhana moja tu, nayo ni WANASIASA KUTAFUTA KUUNGWA MKONO NA WANANCHI, AMBAO HAKIKA MWANANCHI UKIMUULIZA YEYE ANAONA WAPI NI TATIZO LILILOMPELEKA OPERESHENI UKUTA HAWEZI TOA MAJIBU, ZAIDI YA KUSEMA CHAMA KIMESEMA, AU NIMEONA WATU WANAKWENDA HUKO.

In fact operation UKUTA to me should have taken a face of taking more Tanzanians to school, who will finally be able to analyze issues and make viable operational decisions. In this way (UKUTA), is just like beleavers who do not know what they beleave yet they are daily in concregation, those who are supposed to make them know the true beleaf, are also quit capitalizing on the ignorance of the peolple. This is a messy
 
ruly this is a messy, Nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho nikitafuta jambo ambalo kwa hilo Tanzania itapata majawabu ya kiuchumi, uchumi utapeleka watu shule, watu wakienda shule watadaka fursa zaidi za maendeleo, watakuwa na uwezo mpana wa kuchambua hoja za wanasiasa, ili mwenye hoja ya maana ajulikana na walio wengi. Badala yake, document nzima imebeba dhana moja tu, nayo ni WANASIASA KUTAFUTA KUUNGWA MKONO NA WANANCHI, AMBAO HAKIKA MWANANCHI UKIMUULIZA YEYE ANAONA WAPI NI TATIZO LILILOMPELEKA OPERESHENI UKUTA HAWEZI TOA MAJIBU, ZAIDI YA KUSEMA CHAMA KIMESEMA, AU NIMEONA WATU WANAKWENDA HUKO. In fact operation UKUTA to me should have taken a face of taking more Tanzanians to school, who will finally be able to analyze issues and make viable operational decisions. In this way (UKUTA), is just like beleavers who do not know what they beleave yet they are daily in concregation, those who are supposed to make them know the true beleaf, are also quit capitalizing on the ignorance of the peolple. This is a messy
Mbona hueleweki hilo tamko limewafanya nimechanganyikiwa?
 
Back
Top Bottom