CHADEMA washinda uchaguzi DUCE

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Kulikuwa na uchaguzi wa wanafunzi leo.kama kawaida ccm wakisaidiwa na waziri wa mazingira dr.uvisa aliyekuwa dean of students hapa waliweka na kusimamia mgombea mmojawapo nd chacha nyanchoka.upande wa chadema walimsimamisha nd msafiri kidunye.matokeo ya awali vituo vyote msafiri kaongoza kwa mbali.ila matokeo hayajatangazwa rasmi.wanafunzi wapo square wanaimba wakisubiri matokeo.njama zote za kuiba zimekwama.ila hatujajua kwani kunauzito na magamba hawaaminiki.
 
kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?
utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.
 
kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.
Ndo maana yake,Siasa na Elimu havitengamani.Soon hata timu za michezo zitaanza kusajili kwa itikadi za vyama,MPAKA KIELEWEKE!!
 
Nawashangaa hawa wanafunzi badala ya kufuata kilichowapeleka shule wanakimbilia siasa!
 
waziri wa mazingira ambaye alikuwa dean wa duce kabla alipeleka milioni 7 kusahdia mgombea mamluki wa ccm, imekula kwao, chaso imesimama imara
 
Aisee... Tunahitaji kupanua fikra za vijana... Vyama vya siasa hadi vyuoni!.. Sidhani kama kitu hiki ni cha kujivunia hata kidogo... CCM walikosea kuweka mgombea na kutangaza kwamba anatoka CCM na CDM nao wamekosea vilevile kusimamisha mgombea...
 
kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?
utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.
Hilo lipo siku nyingi sana mkuu. Katika kumbukumbu zangu za kusoma UDSM tangu mwaka wa kwanza hadi wa nne, nimekuwa nikishuhudia kitu cha namna hiyo. Kila mgombea huwa ana chama ambacho kinamback up. Kwa mfano wagombea wa CCM pale UDSM siku hizo walikuwa wanapata support ya Riz1 plus some ministers ambao walikuwa hawaoni shida kuja chuo na kupiga blabla za kumuwezesha mtu wao kushinda. Wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais wa chuo, tulikuwa tunakunywa pombe kwa sana tu. Hizo hela za kunywea zilikuwa zinaletwa na vyama.
Lakini pia kuweni waangalifu, CCM huwa ina tabia ya kuwarobe hao washindi kutoka vyama vya upinzani. kwa hiyo unaweza kukuta anakihama CHADEMA just katikati ya uongozi wake. Wala hiyo msiishangae. Namkumbuka mmoja aliyeshinda UDSM, akiwa ni mshabiki wa NCCR mageuzi, lakini alipoingia tu madarakani akajiunga na CCM.
 
I personally don't see any problem with students having political affiliations at colleges, provident that don't affect their academic endeavor !
At college, a student is at the final stage to land down to life systems, where he is going to transform into actions whatever he learnt at college!
I support the movements!
 
Kila kitu kinachoendelea katika maisha ya mwanadam ya kila siku ni sehemu ya siasa! ccm baada ya kuona mtaji wa chadema ni vijana wakaamua kuanzisha matawi ya ccm katika vyuo na kuanza kutumia kampeni chafu ya pesa ili kupandikiza viongozi katika serikali za wanafunzi katika taasisi zote za elimu ya juu ili kuzuia migomo pindi inapotaka kutokea. Viongozi wakiwa hawako katika mlengo wa ccm ni vyepesi kuanzisha migomo hasa pale inapoonekana matatizo yao yamewekwa kapuni na utawala wa chuo. Chadema nao wakaamua kuwajibu hivyo karibu chaguzi zote za vyuo vya elimu ya juu kuna sarakasi kubwa ya kuhahakikisha moja ya vyama hivi kinachukua madaraka. Sera ya chadema ni kutumia maandamano katika kudai haki hasa pale inapoonekana kuporwa na watawala. Huku sera kuu ya ccm ni kuhakikisha inapunguza kelele za wasomi kwa kuwanyima haki zao na kuiacha serikali ipumue na iwe relaxed.
 
yangu macho na siasa za shule maana najua lazima zitabagua baadhi ya fani, jiulize programmer wa computer pale chuo kikuu anatakiwa vipi apotezewe muda wake na hawa wauza maneno? ndo maana vyuo vyetu vinashuka hadhi kila kunapokucha kumbe kuna ajenda ambazo mnawapa na wanakua active kuzitetea na hapa nimeprove ya kua masikini anavurugwa kwa maslahi ya tajiri mkubwa mwanasiasa na kisha anapoteza dira ya masomo na huyu mwanasiasa anamwandaa mwanae nje ili asome na aje kumtawala huyu alietumika.
hongereni wanasiasa kwa kuwapa vijana wa vyuoni kazi maalum kwa ajili yenu na wao kuwatumikia, kwani mmefaulu katika hili.
 
Kulikuwa na uchaguzi wa wanafunzi leo.kama kawaida ccm wakisaidiwa na waziri wa mazingira dr.uvisa aliyekuwa dean of students hapa waliweka na kusimamia mgombea mmojawapo nd chacha nyanchoka.upande wa chadema walimsimamisha nd msafiri kidunye.matokeo ya awali vituo vyote msafiri kaongoza kwa mbali.ila matokeo hayajatangazwa rasmi.wanafunzi wapo square wanaimba wakisubiri matokeo.njama zote za kuiba zimekwama.ila hatujajua kwani kunauzito na magamba hawaaminiki.
last mnth huko UDOM ilikuwa ni baina ya CDM NA MAGAMBA, UKRISTO NA UISLAM! Cjui inajengwa jumuiya gani za wasomi zilizobobea ktk ethnism? Mungu irehem nch hii.
 
kila kitu kinachoendelea katika maisha ya mwanadam ya kila siku ni sehemu ya siasa! Ccm baada ya kuona mtaji wa chadema ni vijana wakaamua kuanzisha matawi ya ccm katika vyuo na kuanza kutumia kampeni chafu ya pesa ili kupandikiza viongozi katika serikali za wanafunzi katika taasisi zote za elimu ya juu ili kuzuia migomo pindi inapotaka kutokea. Viongozi wakiwa hawako katika mlengo wa ccm ni vyepesi kuanzisha migomo hasa pale inapoonekana matatizo yao yamewekwa kapuni na utawala wa chuo. Chadema nao wakaamua kuwajibu hivyo karibu chaguzi zote za vyuo vya elimu ya juu kuna sarakasi kubwa ya kuhahakikisha moja ya vyama hivi kinachukua madaraka. Sera ya chadema ni kutumia maandamano katika kudai haki hasa pale inapoonekana kuporwa na watawala. Huku sera kuu ya ccm ni kuhakikisha inapunguza kelele za wasomi kwa kuwanyima haki zao na kuiacha serikali ipumue na iwe relaxed.
thats true.yametokea udom last mth km c wa magamba unaenguliwa ktk ngazi ya usaili ila chamoto wataendelea kukiona hao wana magamba!
 
Unataka waanze siasa wakizeeka kam kingunge au? Siasa inaanza mtoto anapozaliwa kwanza kumbuka hakuna kitu kinalipa vijana wapya kama siasa tz hamna ajira akianza mapema anajikuta ni mbunge mapema na inamlipa hatutaki wazee wanaolala bungeni tunataka damu changa mtu akitoka chuo ankuwa mbunge hatujali ni wa chama gani bora vijana waingie kwenye siasa mapema, mi nikiwa h. Schoool miaka iyo nilikuwa mwanachama wa ccm, je kwanini leo hamtaki... Acha vijana wapambane na siasa. Pia ni ajira,,,,,
aisee... Tunahitaji kupanua fikra za vijana... Vyama vya siasa hadi vyuoni!.. Sidhani kama kitu hiki ni cha kujivunia hata kidogo... Ccm walikosea kuweka mgombea na kutangaza kwamba anatoka ccm na cdm nao wamekosea vilevile kusimamisha mgombea...
 
Endelea kushangaa mpaka utakapobahatika kutia mguu kwenye taasisi ya elimu ya juu kama DUCE.
hahahahaha... walimu wetu watarajiwa! kumbe na ualimu siku hizi ni wakujivunia? kwanza wanaoenda DUCE ni wale waliokuwa na poor result form six
 
kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?
utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.

Unfortunately mambo ndo hivyo siku hizi vyuoni. It seems political parties wana support candidates kimya kimya
 
hahahahaha... walimu wetu watarajiwa! kumbe na ualimu siku hizi ni wakujivunia? kwanza wanaoenda DUCE ni wale waliokuwa na poor result form six[/QUOTE]
kazi ipo. Haya bwana Mkubwa
 
Back
Top Bottom