Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Kulikuwa na uchaguzi wa wanafunzi leo.kama kawaida ccm wakisaidiwa na waziri wa mazingira dr.uvisa aliyekuwa dean of students hapa waliweka na kusimamia mgombea mmojawapo nd chacha nyanchoka.upande wa chadema walimsimamisha nd msafiri kidunye.matokeo ya awali vituo vyote msafiri kaongoza kwa mbali.ila matokeo hayajatangazwa rasmi.wanafunzi wapo square wanaimba wakisubiri matokeo.njama zote za kuiba zimekwama.ila hatujajua kwani kunauzito na magamba hawaaminiki.