Viongozi wa CHADEMA mkoa wa Dodoma waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kufanya mkutano pasipokuwa na kibali cha polisi leo wameachiliwa huru na mahakama ya mkoa wa Dodoma.
Hii imetokana na upande wa mashtaka (Jamhuri) kushindwa kutoa ushahidi wa kujitosheleza kuwatia watuhumiwa hatiani.
Nafuatilia nakala ya hukumu nitawawekea muda sio mrefu.