ha ha ha nacheka kwa furaha kuku nikikanyaga kadi za magamba hapa
Viongozi wa CHADEMA mkoa wa Dodoma waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kufanya mkutano pasipokuwa na kibali cha polisi leo wameachiliwa huru na mahakama ya mkoa wa Dodoma.
Hii imetokana na upande wa mashtaka (Jamhuri) kushindwa kutoa ushahidi wa kujitosheleza kuwatia watuhumiwa hatiani.
Nafuatilia nakala ya hukumu nitawawekea muda sio mrefu.
Mtoa mada tujuze ni nani atalipia garama za kesi na fedha hizo zitatoka wapi?
Mytake: sisiwe kodi za walala hoi.