CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Watafute mwenyekiti mwingine chadema labda nidhamu itarudi kwwnye chama lakini mlevi huyo sijui ni nani atampa kura ya kuwa raisi...ni heri ya magufuli wetu kuliko huyo.
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Tutashinda tukiwa na jeshi letu la mauaji
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
CHADEMA wangekuwa hawana ushawishi basi msingetumia risasi za moto kwenye mipango yenu mliyokuwa mnafanya kuiba kura.
 
Wananchi wamechoshwa na siasa za fujo na shari. Chadema chali.
Kweli kabisa wananchi wamechoshwa na CHADEMA ndiyomaana CCM mmeuwa binti kwa risasi mkiwa mnapambana kufanikisha wizi wa kura kwa kuficha barua za mawakala wa CHADEMA mnaowasema wamepoteza ushawishi.

Mtu aliyepoteza ushawishi mnamuibia kura kwa nini???
 
Haya, "Mchambuzi".
 
Ndio maana Trump anatutukana waafrika, ni kwa sababu ya kuwa na watu kama huyu anayesapoti ufedhuri wa CCM
 
Kama chadema imechoka, matumizi ya nguvu kubwa ya vyombo vya dola ni ya nini?
Matumizi ya polisi na silaha za moto za nini kama chadema imekufa na ccm inapendwa?

Acha ujinga
 
Kitu kinacho nishangaza kwa chadema mbona hakuna sera toka aondoke mmebaki mkinughunika tu mnaonewa mara kushawishi watu tufanye vurugu tusema hakuna vitu vya ajabu nchi hii kama vipi kaeni kimya mtusubirie usingizi wa wachache tuamke tuseme ccm basii hamna jinsi kwani mnatukatisha tamaaa na vurugu zenu Nyie kama wapinzani mlitakiwa mje na hoja zenye mshiko ili mtuchochee kusema ccm basi ila ukiangali mtu kama halima mdee sijui ni bangi zileee vuruvuru hivi huyu ndio awe Makamu wa raisi kwelii hahaha unaweza ukasema bora tu nichague ccm hahaha unaweza sema bora nusu shari kuliko shari zima eti kamanda hahaha ile chadema ya dr slaa iko wapi au mmezidiwa Ebu jipangeni bwana Asikwambie mtu watanzania wamechoka ccm ila Na Vurugu pia Hawapendi.AMani Twaipenda
 
Back
Top Bottom