CHADEMA wanakaribia kukamata Dola-Balozi Lusinde

Ni watu wawili wasio na uhusiano wowote. Tofauti kabisaaa, Huyu mzee ana upeo mkubwa sana, hata nduguye Malecela alipafika ni u back bencher wa huyu mzee, else angeshapotea zamani sana.
Alichosema ndio ukweli,ila aangalie yule mwanae Livingstone ambaye hakumlea kwa maadili mema asije mshushia mitusi kama kawaida yake akaishia kumlaani akatembea uchi bure Mheshimiwa wa Mtera.
 
Cdm muache udini na ukaskazini

Yani we bado unazungumzia udini na ukanda, ulivyo mjinga hata hoja huna unaishia kuandika utumbo hapa, very stupid, pole sana kada wa ccm, chama kilichooza na kunuka uvundo kila mahali, chama cha watu wanaogombea madaraka kwa mtutu wa bunduki (Bashe na Kigwa), chama cha watu wanaofumaniwa na wake za watu (Mwigulu, Fisichawene) , chama cha watu wanaotukana majukwaani, chama ambacho mashabiki wake ni wale wasiokuwa na uwezo wa kufikiri kama wewe na wenzio wakina zomba, chama cha watu ambao wafuasi wake wako tayari kuwasaliti watanzania kwa kushabikia upumbavu wa chama dhaifu mradi tu wanapata vijihela vya kuendeshea maisha yao.

Chama kilichoshindwa kubadili maisha ye mtanzania pamoja na rasilimali zote zilizopo na mengine mengi tu ya kutia aibu....

#$%^ĩ zako.
 
Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu ambaye bado anasikiliza hizi kauli za wazee kama hawa walioifikisha nchi hapa tulipo na kuzifanyia kazi. Wakati akiwa serikalini alifanya nini katika kutukomboa katika lindi la umasikini wa kifkra na kimaisha. Watu kama hawa ndiyo wanatakiwa baadaye wasimame mahakamani kujibu hizi hoja.
 
Huyu ana uhusiano gani na huyu jamaa (Kilaza)?

images
Ni ndugu hawa watu but tofauti ipo kwenye akili, uwezo wa kufikili na elimu. lusinde mbunge ni darasa la pili wakati balozi ni msomi!

 
Cdm muache udini na ukaskazini

Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kufikiri kuwa cdm kuna udini isipokuwa wewe na wenzako ambao kazi yenu kulialia tu sijui mnataka mbebwe mgongoni! Mtajiju maana hamna atakaye danganyika tena na single hii inayochuja kila siku! Watu wanataka mabadiliko haijalishi yanaletwa na mtu wa dini gani! Wewe naamini ni mdini na una inferiority complex.

Kama hutaki mabadiliko sisi tunayataka!
 
Back
Top Bottom