chadema wamekula matapishi yao

mchuziwanyoka

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
374
28
hatimaye ule usemi ngoma ya kitoto aikeshi umetimia baada ya cdm kula matapishi yao kutokana na kauli ya rais kuwa wanatoka lakini mimi ndio raisi wao sasa yametimia na kwenda kunywa kikombe cha juisi na kulainika kama mlenda asemavo shibuda
 
Ulitaka waingie kama wanaenda pigana? Kwamba sababu JK ana kasoro wasusie juice? Kwamba kuongea kwa JK kua ni Raisi wao ndo kigezo cha kusema wamedhalilika? Nakubali kua approach na scene nzima portrayed na CDM was a bit disturbing but vigezo umetaja sio.... But hata hivo hio ni IMO tu....
 
pumbavu hyu'rais ndio muamuzi wa mwisho ndio amiri jeshi sasa ulitaka wakamtukane rais'
 
Back
Top Bottom