CHADEMA wamefanya makubwa Tanzania: Tutarajie mapambazuko zaidi ya kifikra!

ninaiona hoja katika uchambuzi wa mleta mada,tatizo letu watanzania ni kuwa hatuko tayari kupongeza au kupeana moyo pale upande mwingine unapokuwa umefanya vema,hii ya mwamba ngoma ndo bado inawasumbua baadhi ya watu nchini mwetu,but from what i know we must get there....................
 
It is very unfortunate, ukweli unabakia kuwa katika political maturity kwa Tanzania ranking ya vyama vya siasa, unaanza na CCM, CUF, NCCR Mageuzi .....

CHADEMA bado hakijawa chama cha Siasa hakina mfumo wa chama cha siasa kimekaa kiharakati zaidi. Hofu yangu kubwa ni pale kwa kupitia harakati hizo na msaada kutoka nje wakachukuwa dora, nchi hii itakuwa imeharibika na ninaweza kudiriki kusema kuwa hawatawala zaidi ya muhula mmoja. mungu apishe mbali.

Chadema kinapaswa kujijenga kama chama cha siasa. lakini kikubwa zaidi CCM wasipoteze fursa walioyonayo kwasasa kwa kurekebisha makosa yasiyo na tija kwa taifa. Kuna udhaifu ndani ya CCM na mara watakapoweza kuukabili na kurekebisha tofauti zao, watafanikiwa kuiongoza nchi hii.

Matatizo yao siyo makubwa, lakini wasijisahau.

Chadema udhaifu Mkubwa hawana wanasiasa wana wanaharakati. nachelea kusema na najuwa kwa kawaida ya hapa JF nitatukanwa lakini ukweli ni kwamba ndani ya Chadema wanasiasa unaoweza kuwataja ni hawa tu wafuatao:

Mabere Marando, Zitto Kabwe, Shibuda na Mzee Mtei, Halima Mdee na Marehemu Bob Makani.

Wengine nasikitika kusema bado wanasafari ya kuendelea kujiboresha na kuwa wanasiasa, vinginevyo hii nchi kama alivyosema Mwalimu itakwenda to the dogs:-(
 
Kweli kabisa, badala ya kuonyesha njia sahihi ya siasa za Tanzania na kule tunskotskiwa tuende,CHADEMA wamekaa zaidi kueleza mapungufu ya CCM kuliko kuonyesha njia ya kule wanakotaka kutupeleka.

Hawana MUSA wao, pamoja na fimbo yake.

CHADEMA wamekaa zaidi kiuanaharakati kuliko kuwa na Theoreticians and Strategic Thinkers katika nyanja zote kiuchumi na kijamii.
Wakipata dola kitu cha kwanza itakuwa kugawana sehemu za uchumi wetu , kwa vile hawana mkakati wowote zaidi ya peoples power-whatever that means!!
 
Mimi nilikuwa sijui hata maana ya kuangalia taarifa ya habari na kufuatilia mambo ya nchi lakini sasa hivi kuanzia Chadema watufungue kifikra saa mbili shap niko pembeni ya kioo changu naangalia news. Ahsante sana Chadema kwa kunifungua fikra leo hii naweza nikaikosoa hotuba ya Rais si jambo la masihara ni hatua kubwa sana .
Narudia kusema tena Ahsanteni sana Chadema kwa kunifungua kifikra.
 
Kweli kabisa, badala ya kuonyesha njia sahihi ya siasa za Tanzania na kule tunskotskiwa tuende,CHADEMA wamekaa zaidi kueleza mapungufu ya CCM kuliko kuonyesha njia ya kule wanakotaka kutupeleka.

Hawana MUSA wao, pamoja na fimbo yake.

CHADEMA wamekaa zaidi kiuanaharakati kuliko kuwa na Theoreticians and Strategic Thinkers katika nyanja zote kiuchumi na kijamii.
Wakipata dola kitu cha kwanza itakuwa kugawana sehemu za uchumi wetu , kwa vile hawana mkakati wowote zaidi ya peoples power-whatever that means!!

...naomba utupe hizo strategies ambazo unadhani CDM hawakufanya na wanatakiwa kufanya ili uweke uwanja mpana wa fikra kwa sisi wenye upeo mdogo wa kufikiri kuliko kutoa general arguments at the same time naomba ueleze nini malengo ya uwepo wa vyama vya upinzani nchini, na kwa jinsi gani CDM kama chama cha upinzani kinaweza kueleza matatizo ya watanzania bila kutaja CCM kama sehemu ya matatizo hayo.
 
It is very unfortunate, ukweli unabakia kuwa katika political maturity kwa Tanzania ranking ya vyama vya siasa, unaanza na CCM, CUF, NCCR Mageuzi .....

CHADEMA bado hakijawa chama cha Siasa hakina mfumo wa chama cha siasa kimekaa kiharakati zaidi. Hofu yangu kubwa ni pale kwa kupitia harakati hizo na msaada kutoka nje wakachukuwa dora, nchi hii itakuwa imeharibika na ninaweza kudiriki kusema kuwa hawatawala zaidi ya muhula mmoja. mungu apishe mbali.

Chadema kinapaswa kujijenga kama chama cha siasa. lakini kikubwa zaidi CCM wasipoteze fursa walioyonayo kwasasa kwa kurekebisha makosa yasiyo na tija kwa taifa. Kuna udhaifu ndani ya CCM na mara watakapoweza kuukabili na kurekebisha tofauti zao, watafanikiwa kuiongoza nchi hii.

Matatizo yao siyo makubwa, lakini wasijisahau.

Chadema udhaifu Mkubwa hawana wanasiasa wana wanaharakati. nachelea kusema na najuwa kwa kawaida ya hapa JF nitatukanwa lakini ukweli ni kwamba ndani ya Chadema wanasiasa unaoweza kuwataja ni hawa tu wafuatao:
Siasa haiwahusu wanasiasa peke yao Siasa haiwahusu wanasiasa peke yao
Mabere Marando, Zitto Kabwe, Shibuda na Mzee Mtei, Halima Mdee na Marehemu Bob Makani.

Wengine nasikitika kusema bado wanasafari ya kuendelea kujiboresha na kuwa wanasiasa, vinginevyo hii nchi kama alivyosema Mwalimu itakwenda to the dogs:-(

Hawa ni political figures ambao wewe unawaona kwa urahisi na kwa upeo wako, lakini kumbuka kuna hazina kubwa ya strategic thinkers nyuma ya hawa ambao unawafahamu wewe.

Back to misaada usijidangaje mwenyewe kwamba CCM hawapokei misaada toka nje kwa vyama marafiki, ukihitaji nikusaidie kuvifahamu nitakusaidia, achana na propaganda na kina nape na wengine zitapunguza upeo wako wa kufikiri. Mbali ya vyama vya siasa nchi yetu inaishi kwa misaada na asilimia kubwa ya bajeti kwa shughuli za maendeleo zinategemea misaada.

Pili, hakuna siasa inayokwepa msukumo wa kiharakati katika kukidhi malengo ya nyakati, harakati sio jambo geni katika dunia yetu, ni suala la mapambano ambalo limeanza tangu kale. Chini ya mikataba kama vile "Petition of Right" and "the great Rebellion" au "Puritan Revolution" Bill of rights" ililenga kutoa uhuru wa raia chini ya tawala kandamizi na hatimaye kukuza demokrasia na utawala wa sheria.

Anyway my point is sasa watanzania wameanza kufuatilia siasa ya nchi yao kwa umakini zaidi kuliko kipindi cha nyuma na huo ndio ukweli wenyewe. Wamegundua kwamba siasa haiwahusu wanasiasa peke yao, tutegemee mapambazuko zaidi.
 
...naomba utupe hizo strategies ambazo unadhani CDM hawakufanya na wanatakiwa kufanya ili uweke uwanja mpana wa fikra kwa sisi wenye upeo mdogo wa kufikiri kuliko kutoa general arguments at the same time naomba ueleze nini malengo ya uwepo wa vyama vya upinzani nchini, na kwa jinsi gani CDM kama chama cha upinzani kinaweza kueleza matatizo ya watanzania bila kutaja CCM kama sehemu ya matatizo hayo.

Mbelwa Germano,

Kwa upande wa siasa, CHADEMA hakuna kitu, ninachoweza kukuwambia kwa haraka haraka ni kuwa kunakitu kinaitwa 'Magwanda effect' hiki ndicho kinawashawishi vijana na siyo sera za CHADEMA kwani hazipo. Kingine ni kuwa CCM hawajaweza kuyajibu na kutoshereza matarakjio ya vijana wengi wa Tanzania ya sasa.

Wakiweza kutekeleza ahadi za za uchaguzi hata kwa asilimia 60% na kutowa kwa matumaini kwa vijana kama ambavyo JK ameanza kufanya kwenye uteuzi wake wa Baraza la Mawaziri na Ma-DC, Chadema kama nilivyosema awali ni evanescent, it will disappear.

Nguvu ya Chadema inatokana na udhaifu unaoanza kujitokeza ndani ya CCM hususan kwenye suala la ajira za vijana na matumaini ya kiuchumi na fursa zilizopo, vinginevyo Chadema ni sawa na timu ya mpira pale zamani ilikuwa inajulikana kama Pan African, ilitokana na matatizo ndani ya Yanga.

huo ndiyo ukweli Wenyewe. CCM wakijitambuwa kuwa kuna mambo ya Siasa yanabidi yafanyiwe kazi kama Chama cha siasa, na kuzingalia tofauti zao na kuzifanyia kazi na zaidi na awali ya yote suala la kuisimamia na kuongoza serikali katika kudhibiti na kuboresha Uchumi wa Tanzania na kutekelza Ilani yao ya Uchaguzi na Ahadi lukuki, ifikapo 2015, Chadema hawatakuwa na cha kutuambia Watanzania.

ni hayo tu.
 
Naomba ujibu swali la MSINGI maelezo yako yako too general: " ...naomba utupe hizo strategies ambazo unadhani CDM hawakufanya na wanatakiwa kufanya ili uweke uwanja mpana wa fikra kwa sisi wenye upeo mdogo wa kufikiri kuliko kutoa general arguments at the same time naomba ueleze nini malengo ya uwepo wa vyama vya upinzani nchini, na kwa jinsi gani CDM kama chama cha upinzani kinaweza kueleza matatizo ya watanzania bila kutaja CCM kama sehemu ya matatizo hayo."
 
You see! There is a problem, Nashangaa nyinyi kama Political Party hamna strategy mnasubiri mtu wa kawaida kama mimi niwape strategy, Je nchi mnatarajioa kuiongoza namna gani?
 
Umefika mwisho...umeshindwa kudefend arguments zako sasa umeamua kuzunguka mbuyu, anyway umeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kutetea kile unachodai. Endelea kujifunza Mkuu...
 
Back
Top Bottom