VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Walikuwa wakisubiriwa kwa hamu mno.Waseme japo neno moja juu ya vurugu za Zanzibar.Vikao mbalimbali vya Nyinyiemu vilijiapiza kudandia kwa kuponda kauli ya kiofisi ya CHADEMA juu ya vurugu hizo.Intelijensia ilihamia CHADEMA.CHADEMA ikabaki kimya.Imecheza karata zake vyema.CCM wamekosa pa kuanzia.Waweza kusema:Maaskofu waliomuona Shein wametumwa na CHADEMA.Mtego umefyatuka kabla ya kumnasa aliyelengwa.Nyinyiemu chaliiii....kazi ni kwenu!