chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
angalau mavi yake ,mavi ya kifungoni segerea na yeye anakaa nayo humo kwenye ndoo. Ndo maana ananuka
Hivi mnalipwaga sh ngapi ku-post upuuzi huu?...Lakini hata hili nalo latosha kuwahadharisha kuwa,kwa wingi wenu,na kwa kuongezeka kwa kasi kubwa mno kwa uhitaji wa vichwa kama nyie kwa huyo bosi wenu anaewalipa,kutafanya bosi wenu afilisike upesi sana,...maana akiwalipa nyie aliowapandikiza JF,akilipia vichwa vyote anavyohitaji avijaze upuuzi tayari kwa matumizi kwenye Dowans,katiba mpya, Arusha crisis,kesi za chaguzi, migomo ya vyuo...on and on..and on....bado hajahonga sukari na bia kwa FFU,bado hajanunua radio stations za vijana (akina KB)...on..and on..and on..Du hazijaisha tuu..?Kwani unadhani haitaji pocket money atakayotumia huko ukimbizini when CHANGE arrives? Fungueni macho,ufalme wenu una dalili zote za kuanguka...maana "Any kingdom divided against itself will be ruined, and a house divided against itself will fall...." si umeona jinsi Msekwa na Makamba wanavyopingana utadhani hawaingii mlango mmoja pale lumumba?...si umeona baraza la mawaziri na kauli zao...Sitta na lake,Ngeleja na lake...Pinda na lake,Nahodha na lake...Time is here! wake up!!chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.
Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.
Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.
Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
Na mbegu nyingine zikaangukia kwenye mawe na upepo ukaja ukazipeperusha. lakini zingine ziliangukia kondeni zikamea na kuzaa matunda
Hawa ccm nimewachukia rasmi na majirani zangu ambao ni ccm nawachukia:frog::frog:
Ndugu zangu naombeni nikushukuruni kwa kupita kule nilikopita mimi badala ya mwanzilishi wa thread hii. Hii ni kuonyesha kuwa MANENO YANGU NI YA HEKIMA. HERI JUU YA WOTE WATAOZINGATIA UJUMBE WANGU.
AMANI YA MOLA WETU NA IWE JUU YENU. NAFUNGA MJADALA.
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.
Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.
Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.
Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
Hata Shetani hutumia (kiupotofu) maandiko ya Biblia to favour himself. mfano: "Kama kweli wewe ni mwana wa Mungu jirushe chini (down cliff) kwa kuwa imeendikwa Mungu hataacha mguu wako ujikwae" na kadhalika na kadhalika. Shetani ni roho, na roho haifanyi kazi bila mwili..hivyo kama Mungu atumiavyo watakatifu wake kwa kazi zake ndivyo na shetani pia hutumia watu waovu (agents of satan) kuendeleza uasi wake. So watch out whether you are being used by God or by satan!
Ndugu zangu naombeni nikushukuruni kwa kupita kule nilikopita mimi badala ya mwanzilishi wa thread hii. Hii ni kuonyesha kuwa MANENO YANGU NI YA HEKIMA. HERI JUU YA WOTE WATAOZINGATIA UJUMBE WANGU.
AMANI YA MOLA WETU NA IWE JUU YENU. NAFUNGA MJADALA.
Nashukuru anko Sam.
Kwa mwenye Hekima amani ndio tunda la Moyo. Allah akupe hidaya uitambue haki!

Mode hebu mpigeni ban huyu jamaa. Hili jina lake Punyeto kikwetu ni matusi. Pia pumba anazochangia utafikiri yuko katika zama za ujima, nchi ya kidemokrasia haina watawala na watawaliwa, ina viongozi na wananchi. Unatawaliwa na nani? Kwani kikwete ni mkoloni? Wakwere nao wamekuwa wakoloni ktk nchi hii? We vipi bwana, labda unatwaliwa wewe na wazazi wako na wanao, sisi wengine tunaongozwa tu, ila bahati mbaya serikali inayotuongoza imechakachua kura zetuchonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.
Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.
Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.
Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
Ccm ccm oohhh chama cha cha mapinduzi...kiboko yao
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.
Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.
Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.
Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
Ccm ccm oohhh chama cha cha mapinduzi...kiboko yao[/QUOTE
CCM - Chama cha Makamba! kiboko yenu