Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi basi CCM itashinda kirahisi na Wasiposhiriki basi CCM itashinda kiubwete kabisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Muundo wa sasa wa Tume ya Uchaguzi ni sawa na Mtego wa Panya hunaswa wahusika na wasiohusika

Angalizo:

Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi ni Wazi CCM itashinda kirahisi lakini Wao Chadema watapata Wabunge na Madiwani Wawili Watatu

Ikiwa Chadema hawatashiriki itakuwa ni furaha kuu kwa CCM kwa sababu watapata Ushindi wa 100% huku Tanganyika

Uamuzi ni wenu Ufipa st

Nawatakia Alhamis njema 😀
 
Duh kwahio ccm lazima iwe mshindi? Sasa uchaguzi una haja gani kufanyika?

Hizo hela wazipeleke kwenye maendeleo au mafisadi wachukuwe wao tu.
 
Mgaya unazeeka vibaya rekebisha heading au bi mkubwa kakukurupusha alfajiri yote hii?(no morning glory?)
 
Back
Top Bottom