CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

Chadema Nichama Makini kwa watu makini, kama ndio metumwa kuja kumuombea msama hapa JF basi siyo mahali pake chadema hatukurupuki mambo kama ccm poleni jaribuni tena
 
Hayo ni mawazo mgando yasiyofaa kusikika ndani ya chama makini cha Chadema,

Hangaika kumuombea msamaha Lowasa dhidi ya cc ya ccm kwakufungiwa mwaka mzims kutotoa rushwa makanisani na misikitini
Jibu sawia kabisa kwa watu kama Pasco and co. anahangaika Zitto kukuombewa msamaha wakati Lowassa kapigwa ban na mods wa CCM.
 
CCM B( CUF) iliyotangazwa na Chadema kwenye Mitandao, Vikao rasmi vya Chama na kwenye Mikutano ya Hadhara leo ndio Mashosti wa Chadema tena imemteua Mh. Mbatia ambae ni Mteule wa Mh. Rais Kikwete kama Mbunge wa Kuteuliwa na Rais kuwa Waziri kivuli wa Fedha. " Msiwaamini wanasiasa hata kama ni wa Upinzani"- Zitto Kabwe.
 
CHADEMA sasa inapaswa kupitia upya na kufanya masahihisho. kwa maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani bungeni na kuvishirikisha,vyama vya NCCR na CUF.umefika wakati sasa kupitia upya yale maamuzi magumu na kuwa samehe na kuwa rudisha akina zito kabwe,dr kitilia mkumbo na samson mwigamba katka chama.kuwarudisha akina mtela mwampamba,juriana shonza na habibu mchange. haiingii akilini kama unaweza shirikiana na CCM (B) Kwa undani eti ushinde kushirikiana na alie itwa anatumika na CCM. MBOWE,SI LAA NA WAJUMBE WOTE WA KAMATI KUU kwa pamoja au kwa kila mmoja kwa wakati wake amuweni kuruhusu fikira hii mpya kwenu.huku mkitafakali faida na hasala ktk hili.Ally makwilo.

Naona sasa wewe unataka matusi ya lazima ... Shonza amekuambia kuwa anataka kurudi CDM? je CDM watampokea?...Ushauri wangu kwa CDM ni mmoja tu kwa leo! CDM wanatakiwa kureview strategies zao kuelekea uchaguzi mkuu 2015! Wawe tayari kuwapokea viongozi watakao umizwa ktk uchaguzi wa awali wa CCM! Mwalimu hakukosea aliposema kuwa Upinzani wa kweli utatoka CCM! ...Akipatikana kiongozi wa ndani mwenye kujua game linachezwa vipi na wachezaji wakamkubali ...dah!...sihitaji kumalizia ...
 
Hahahaha, nimeanza kuongelea Serikali tatu kabla ya wewe kuijuwa JF ni nini.

Chadema kuwepo au kutokuwepo si tatizo, kuwa na uhai ndio tatizo, hivi wewe unavyoiona sasa hivi si iko ICU, au hilo hulioni?

Umesahau mara hii? jikumbushe:

-Chopa tatu kata tatu.
-Kalenga
-Chalinze.

Chama chenye uhai kinagaragazwa namna hiyo?

kumbuka, tukiongelea kifo cha chama usifikiri ni kama kifo cha binaadam! ile kuwa ineffective uwepo wake ndio kifo cha chama. Hivi sasa chadema bila UKAWA (CUF na NCCR) kina uhai gani? turufu iliyobaki ndio hiyo ya kuwalamba miguu akina Jussa na Maalim Seif, na mkija bara huku mumlambe miguu Lipumba na Mbatia.
Wewe unaona chopa tatu kata tatu tu hujiulizi serikali nzima pamoja na majeshi yote pamoja na BOT yao lakini wakapigwa 4-0.

'Active' is a relative term, ngoja nikufahamishe Chedema ilivyo active.

CCM wameacha kuhubiri sera zao sasa ni Ukawa tu, na kwa taarifa yako activities nyingi za kisiasa zinazofanyika leo nchini ring leader wake ni Chadema, huwezi kuzungumzia Katiba mpya bila kuitaja Chadema, huwezi kuongelea uchaguzi wowote bila kuitaja Chadema, magazeti na TV bila kuwepo habari ya Chadema gazeti haliuziki, nimeshakuambia wewe tu kuishabikia Tanganyika kurudi ni sera ya Chadema, unataka uhai gani wa kisiasa Chadema iwe nao.

Unataka kutuambia CCM iliposhindwa 4-0 kule Arusha ilikuwa imekufa au haikuwa active? kwa akili yako Republican ya marekani kushindwa mara mbili na Democrat tayari imeshakufa au haiko active?

Kwenye siasa kushinda na kushindwa ni matokeo,
 
Kijana hata JF ni shahidi, ilikuwa hapa mtu usie chadema ukiweka post moja kuipinga, amma unakula ban amma post inafutwa, sasa hivi tazama. Unayaona hayo?

Kinana si mchezo, kubwabwaja mnaweza sana lakini "effectiveness" ya kwenye umma huko, kwishnei. Sasa hivi CUF na NCCR ndiyo imekuwa kama oxygen yenu mliobandikwa nayo ICU, bila hao hamna matumaini ya kuishi.

Mliwaita CCM B, mliwaita wameolewa, mliwakejeli, mliwanyima kushiriki kambi ya upinzani bungeni, leo kulikoni? baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
We ajuza unaongea kama adeni rage, yule msomali wa tabora. Huwezi jua, pengine nawe ni zao la somalia. Umshukuru Nyerere kwa kuwaruhusu wakimbizi kufurahia maisha hapa TZ.
 
Mnao endelea kupinga sio viongozi ktk chadema. naishauri kamati kuu.
Kamati kuu gani unayoiomba imsamehe, hii hii iliyowavua akina Zitto madaraka au hii hii ya akina Mbowe iliyomuona Zitto si chochote kwenye baraza kivuli ikamuacha, i wonder labda CC ya ACT.
 
chadema iwasamehe akina zitto kwa kosa lipi? acha hiyo saccos ijiifie huko.

CHADEMA sasa inapaswa kupitia upya na kufanya masahihisho. kwa maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani bungeni na kuvishirikisha,vyama vya NCCR na CUF.umefika wakati sasa kupitia upya yale maamuzi magumu na kuwa samehe na kuwa rudisha akina zito kabwe,dr kitilia mkumbo na samson mwigamba katka chama.kuwarudisha akina mtela mwampamba,juriana shonza na habibu mchange. haiingii akilini kama unaweza shirikiana na CCM (B) Kwa undani eti ushinde kushirikiana na alie itwa anatumika na CCM. MBOWE,SI LAA NA WAJUMBE WOTE WA KAMATI KUU kwa pamoja au kwa kila mmoja kwa wakati wake amuweni kuruhusu fikira hii mpya kwenu.huku mkitafakali faida na hasala ktk hili.Ally makwilo.
 
Kijana hata JF ni shahidi, ilikuwa hapa mtu usie chadema ukiweka post moja kuipinga, amma unakula ban amma post inafutwa, sasa hivi tazama. Unayaona hayo?

Kinana si mchezo, kubwabwaja mnaweza sana lakini "effectiveness" ya kwenye umma huko, kwishnei. Sasa hivi CUF na NCCR ndiyo imekuwa kama oxygen yenu mliobandikwa nayo ICU, bila hao hamna matumaini ya kuishi.

Mliwaita CCM B, mliwaita wameolewa, mliwakejeli, mliwanyima kushiriki kambi ya upinzani bungeni, leo kulikoni? baniani mbaya kiatu chake dawa?
Siasa za JF zilikuwa zinaharibiwa na wapenzi wa Zitto, hizo sifa tumewaachia ACT sisi tuko field.

Kwenye siasa hakuna uadui wala urafiki wa kudumu huko Zanzibar leo CCM na CUF wanaendesha serikali ya umoja.

Siasa kama biashara yeyote ili ufanikiwe unahitaji strategic plan (short and long term), kwa hiyo hata kitendo cha Chadema kuwaruhusu CUF na NCCR ni mojawapo ya mipango kisiasa ambayo kama ukiwa mtu neutral utakubaliana nami kuwa imewachanganya sana CCM. Kama CCM walitegemea kuisambaratisha Chadema pekee kabla ya uchaguzi 2015 sasa itabidi itafute mbinu zingine ili iweze kuisambaratisha UKAWA nzima.
 
Kuwaruhusu? au chadema kuwalamba miguu CUF na NCCR.

Bila ukawa mnanini zaidi chadema? nyimbo zote zime flop.
 
Whatever you call it iwe kuwalamba, kuwabeba haijarishi kama lengo linatimia.

Chadema tuna nini? my dear we have nothing to lose except your chain.
 
We ajuza unaongea kama adeni rage, yule msomali wa tabora. Huwezi jua, pengine nawe ni zao la somalia. Umshukuru Nyerere kwa kuwaruhusu wakimbizi kufurahia maisha hapa TZ.

Ewe punguani, Tanzania nna asili nayo kuliko Nyerere, Nyerere baada ya generation yake moja tu nyuma, ya pili unai tress kutokea Rwanda. Hapo sasa!

Nnakuhakikishia pengine Rage anaweza ku tress generations zake hapa Tanzania zaidi ya Nyerere.
 
Mzee Edwin Mtei hebu angalieni namna ya kumuomba Zitto msamaha, Chama chenu kinateketea mchana kweupe.

Hawana haja ya kumuomba msamaha acha aondoke CHADEMA aje CCM huku tunahitaji majembe Kama Zitto.... Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi mkuu....
 
Last edited by a moderator:
unaonekana hujielewi kabisa wewe. unajua tofauti ya kura za democratic na republican? au unaandika tu kujifurahisha. tofuti ya vyama hivi miaka yote ni chini ya 1%. sasa chadema kule kalenga 20 % kwa 80% chalinze 10% kwa 90%. kata 3 kwa kata 23. huwezi kuona kitu cha tofauti hapo? hata yule sisimizi-kafulila leo hii amegeuka tembo na mnamlamba miguu. upuuzi. nakumbuka hata Dada Faiza aliwauliza nani atakuwa waziri wenu kivuli wa fedha bungeni? sio kwamba aliuliza hilo swali kwa bahati mbaya ila alikuwa anaona kabisa waliobaki pale bungeni kwa chadema ni empty kichwani. huwezi kumpa mtu kama lema au sugu aongoze wizara kivuli ya fedha. mmeishia kwenda kukopa mawaziri nje kama akina mbatia. nashangaa hamuoni hata aibu. ovyo kabisa.

Wewe unaona chopa tatu kata tatu tu hujiulizi serikali nzima pamoja na majeshi yote pamoja na BOT yao lakini wakapigwa 4-0.

'Active' is a relative term, ngoja nikufahamishe Chedema ilivyo active.

CCM wameacha kuhubiri sera zao sasa ni Ukawa tu, na kwa taarifa yako activities nyingi za kisiasa zinazofanyika leo nchini ring leader wake ni Chadema, huwezi kuzungumzia Katiba mpya bila kuitaja Chadema, huwezi kuongelea uchaguzi wowote bila kuitaja Chadema, magazeti na TV bila kuwepo habari ya Chadema gazeti haliuziki, nimeshakuambia wewe tu kuishabikia Tanganyika kurudi ni sera ya Chadema, unataka uhai gani wa kisiasa Chadema iwe nao.

Unataka kutuambia CCM iliposhindwa 4-0 kule Arusha ilikuwa imekufa au haikuwa active? kwa akili yako Republican ya marekani kushindwa mara mbili na Democrat tayari imeshakufa au haiko active?

Kwenye siasa kushinda na kushindwa ni matokeo,
 
Whatever you call it iwe kuwalamba, kuwabeba haijarishi kama lengo linatimia.

Chadema tuna nini? my dear we have nothing to lose except your chain.

Indeed, for now you have nothing except leaking Jussa's feet for your survival.

Usitukane wakunga na uzazi ungalipo - Bi Kidude, The legend.
 
CHADEMA sasa inapaswa kupitia upya na kufanya masahihisho. kwa maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani bungeni na kuvishirikisha,vyama vya NCCR na CUF.umefika wakati sasa kupitia upya yale maamuzi magumu na kuwa samehe na kuwa rudisha akina zito kabwe,dr kitilia mkumbo na samson mwigamba katka chama.kuwarudisha akina mtela mwampamba,juriana shonza na habibu mchange. haiingii akilini kama unaweza shirikiana na CCM (B) Kwa undani eti ushinde kushirikiana na alie itwa anatumika na CCM. MBOWE,SI LAA NA WAJUMBE WOTE WA KAMATI KUU kwa pamoja au kwa kila mmoja kwa wakati wake amuweni kuruhusu fikira hii mpya kwenu.huku mkitafakali faida na hasala ktk hili.Ally makwilo.

pamoja na usajili wa act?
 
Hahahaha, nimeanza kuongelea Serikali tatu kabla ya wewe kuijuwa JF ni nini.

Chadema kuwepo au kutokuwepo si tatizo, kuwa na uhai ndio tatizo, hivi wewe unavyoiona sasa hivi si iko ICU, au hilo hulioni?

Umesahau mara hii? jikumbushe:

-Chopa tatu kata tatu.
-Kalenga
-Chalinze.

Chama chenye uhai kinagaragazwa namna hiyo?

kumbuka, tukiongelea kifo cha chama usifikiri ni kama kifo cha binaadam! ile kuwa ineffective uwepo wake ndio kifo cha chama. Hivi sasa chadema bila UKAWA (CUF na NCCR) kina uhai gani? turufu iliyobaki ndio hiyo ya kuwalamba miguu akina Jussa na Maalim Seif, na mkija bara huku mumlambe miguu Lipumba na Mbatia.

Wafumbue macho hao vipofu wa CDM, mwanzoni walijiona wanaweza peke yao bila ushirika wa vyama vingine sasa hv backup yao imehamia NCCR na CUF ambao waliwadis kitambo. zzk anaondoka na CDM ndo kwishine. Tusubiri kuona majimbo kibao yakirudi kule kule yalikutoka hapo mwakani.
 
Back
Top Bottom