CHADEMA waigeni CUF

Chadema hawana cha kujifunza kutoka CUF, kwani hata CCM sasa wanahangahika ili wapate watu makini na wenye uchungu na nchi yetu kama walioko CHADEMA. Fanya tu utafiti uliomdogo kabisa utagundua kwamba wote wenye ueelewa mzuri wako CHADEMA na kwa wale ambao bado wapo CCM ni kwasababu wanapigania matumbo-maslahi yao. Ili uwe na uhakika angalia hata matokeo ya Uchaguzi mwaka jana. Sehemu zote wenye watu makini waliipigia kura CHADEMA. CCM walipata kura vijijini ambapo ni rahisi kuwarubuni watu kwa vitu vidogovidogo kama Khanga, kofia , 2000 na VITISHO. Hakika CHADEMA wana watu makini sana, jpo mimi siyo mwanachama wao, lkn hilo haliwezi kunifanya nisiseme ukweli kwamba CHADEMA wana watu makini kuliko sisi japo tuna wanachama wengi na resource nyingi kuliko wao.
 
juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia. ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.

Kama tutasubiri CUF itukomboe, tuwe wavumilivu sana kwani itabidi tungojee miaka 50 mingine. Unajua polisi wala hawana shida na CUF ndiyo maana hata maandamano yao huwa hayazuiliwi. Kama unataka kujua impact ya CDM kaulizie Mbeya na Mwanza. Poleni CUF mtabakia kuwa watazamaji tu wa matukio nchini.
 
cuf ni kweli mnaweza recodi zenu zinafahamika, tunawaomba cdm ambao ni ccm ( c ) wajifunze kutoka kwenu waache tamaa hawawezi kufanikiwa kama, wanashindwa hata kufanya kazi na vyama vingine,hivi wataweza kuiongoza tz yenye watu wenye dini tofauti kabila tofauti, au ndio itakua serikali ya wachaga watupu na wakatoliki watupu. Ushauri mafanikio ya watanzania yanahitaji umoja mctudanganye.
mchuma janga hula na wakwao. Endelea kupandikiza chuki kwa watanzania.
 
CUF ni wanaume wa kweli walimtoa jasho mkapa mpaka mwenyewe likamtoka la moyoni ooh nilikuwa sipati usingizi sasa nitalala, naamini CUF kwa sasa wanapiga jaramba si mbali 2015 watachukua nafasi yao.
 
Unataka CDM waolewe kama CUF? Unataka waige nini kutoka CUF..USHOGA? au ndoa imewashinda? nasikia magamba sasa wanakula kisamvu! ndio ndoa hiyo CUF wewe, style zote utageuzwa,,chuma mboga, mbuzi kagoma kwenda, jipimie, toa hutuba n.k! sasa unataka CDM waige nini...
 
huyo ndiyo padiri slaa.anataka kuwa amiri jeshi mkuu ilihali muungurumo wa mabomu hewa tu anajificha kwy spika,vp nchi ikivamiwa na marekani na ile midege yake na yeye ndio rais si atauza nchi?namshauri arudi kamtumikia bwana kanisana mikiki ya siasa haiwezi.kanisa limemsomesha kwa hela nyingi kisha kaasi natumai mtu wa aina hii ni rahisi kuasi hata nchi.
 
Back
Top Bottom