Elections 2010 Chadema wageuziwa kibao kuhusu fujo, wafuasi wake kukamatwa

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Macmillan George ? JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010: Bila kutumia akili wameanza kuwavisha wafuasi wao njano na kijani na kuwaambia waanzishe fujo ili tuonekane ni sisi. Nawaombeni wana CCM watu wapenda amani tusiwe wajingakama wao, tuwe watulivu wala tusijibizane nao wanatafuta sababu ili waseme ni sisi. Wameanza hili walipowaona waangalizi wa nje wamekuja ili waone upuuzi wao na kuuhusisha na CCM. Wale so wajinga kama wao nyie endeleeni matokeo yake wapiga kura wenu wachache mlo nao wataishia jela na mahospitalini wakiugulia madonda ya wao kwa wao, mwisho wa siku mseme mmeibiwa kura.

CCM tuko imara na hakika kwa pamoja tutashinda kw kishindo!

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

JK Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Source: Face Book
 
Na wale jamaa waliokatwa mapanga Musoma je, walikatwa na wafuasi wa CHADEMA? Na vuvuru zilizoanzishwa kwenye kampeni ya Freeman Mbowe juzi je, hawakuwa vijana wa CCM?
 
Na wale jamaa waliokatwa mapanga Musoma je, walikatwa na wafuasi wa CHADEMA? Na vuvuru zilizoanzishwa kwenye kampeni ya Freeman Mbowe juzi je, hawakuwa vijana wa CCM?

Mkuu Jasusi ndio hao jamaa anaodai kwamba ni wafuasi wa Chadema na kwamba waTawekwa nddani wA chaden ili wasipigige kura wafuasi w chadema
 
Mkuu Jasusi ndio hao jamaa anaodai kwamba ni wafuasi wa Chadema na kwamba waTawekwa nddani wA chaden ili wasipigige kura wafuasi w chadema
Hebu niambie tena? Yaani jamaa aliyekatwa panga ndiye atawekwa ndani kwa sababu anataka kuichafulia sisi em? Na wale waliotumia mapanga je, watafanyiwa nini?
 
kutokuwa na akili ni ugonjwa mbaya sana maishani...na upumbavu ni kitu kibaya mnooo....Nadiriki kusema CCM ni wapumbavu sana kwa urguments zao za kitoto zinatia mpaka kichefuchefu kwa kweli
 
Huna ushahidi wowote ule wa majina ya waliohusika na huu wako sasa ni mfano mzuri wa mropokaji
 
Hebu niambie tena? Yaani jamaa aliyekatwa panga ndiye atawekwa ndani kwa sababu anataka kuichafulia sisi em? Na wale waliotumia mapanga je, watafanyiwa nini?
Kaka kuna mtu humu kasema vizuri kwamba watu hawana akili na wanawadharau sana Watananoia wa 2010, yaani akili yao wanataka kuchakachua hata mnatukio!!! Ndio maana kina Shimbo hadi sasa wanasita kutoa taarifa ya matukio anatoa JK ktk mikutano ya hadhara na Kamati Kuu
 
This is called "mind diarrhea" or "mouth diarrhea"!!!!!!
You're just giving out upuuzi tu,sijui hata aibu huna ukiwa unaandika au unajikaza kisabuni????
 
Macmillan George ? JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010: Bila kutumia akili wameanza kuwavisha wafuasi wao njano na kijani na kuwaambia waanzishe fujo ili tuonekane ni sisi. Nawaombeni wana CCM watu wapenda amani tusiwe wajingakama wao, tuwe watulivu wala tusijibizane nao wanatafuta sababu ili waseme ni sisi. Wameanza hili walipowaona waangalizi wa nje wamekuja ili waone upuuzi wao na kuuhusisha na CCM. Wale so wajinga kama wao nyie endeleeni matokeo yake wapiga kura wenu wachache mlo nao wataishia jela na mahospitalini wakiugulia madonda ya wao kwa wao, mwisho wa siku mseme mmeibiwa kura.

CCM tuko imara na hakika kwa pamoja tutashinda kw kishindo!

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

JK Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Source: Face Book
Aisee nimejiunga na mtandao wa kikwete FB namtungua huko huko.
nimekuta wajinga wengi wanaongea ndoto na kumfagilia sana ila ndo nshaanza kumpiga dozi kule kule
 
Kauli ya cc... Kuwa watu watewekwa ndani (kufungwa) na watashindwa kupiga kura IMEJIRUDIA kama alivyowaambia waalimu etc (kuna dondoo iliyojificha).

Tuwe makini hapa, Mungu huwaokoa wanyonge waliochoshwa na kukandamizwa, kwa nguvu zake yeye Mungu mwenyewe huwalipa malipo ya kutosha wakandamizaji.

Ashukuriwe Yeye Mungu kwakuwa si mtu hata asione, wala si mwanadamu hata aendelee kuvumilia watz kulaghaiwa. Ana nguvu nyingi sana na hata sasa zinafanya kazi Tz.
 
Na AG ameshaanza kufanya kazi ya uwakili kwa CCM kwani amepeleka malalamiko kwa NEC kuwa chadema wanatoa kauli za kutishia amani.
naamini kweli kwamba ccm ina watu wake kila idara za serikali
 
Back
Top Bottom