CHADEMA waangukia pua Rufiji!

VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
Yawezekana kweli unaionea huruma cdm lakini kwanini usiwaonee huruma wanarufiji maana ni miaka 50 sasa bado wametopea kwenye umaskini wa kutisha.. hata hivyo mbinu mahususi ya utawala huu uliopo madarakani ni kuongeza umaskini vijijini na elimu duni ili kuweza kuendelea kutawala.. mbinu ambayo imefeli pande zingine za nchi yetu na ndio maana sasa wanawatisha hao walio maskini na elimu duni kwamba cdm ni chama cha kikanda nk.
 
afadhari kwani hao watu wa rufiji wantoka tanzania na elimu zao zikoje uwakilishi wa serikalini ukoje wakaungane na wapemba tu hatuwataki potelea mbali hney k
vijiji ; ccm - vijiji 11, cuf -vijiji 3, chadema -0.

Vitongoji; ccm- vitongoji 27, cuf - 6 na chadema- 0
rip chadema, mkapumzike kwa amani! Poor you!
 
​lakini mbona hamlalai kama ni wanaharakati maanza kufukuzana kwa ajili ya posho za ccm anazokula nape kwi kwi kwi
hizo ni salamu kwa ajili ya 2015 tutakapo wachinja chinja kwa land slide victory , cdm sio chama ni wanaharakati wahuni walio jikusanya pamoja kwa kuwahadaa wananchi
 
​ni waislamu wa rufiji tu wasio na akili waislamu wengi wanjua kuwa wanatumiwa na ccm
chadema kama hawatajitathmini na udini wao waliojuza kichwani kuona waislam sio kitu chochote sio lolote, wasitegemee kitu
 
Wamechagua Shetani na kukataa Neema ya Mungu. Maskini Rufiji, wanatia huruma sana Tanzania ya leo kukumbatia nge kwapani.
 
Nadhani anayepaswa kuonewa huruma sio CHADEMA ila ni wana-rufiji waliochagua kifo.
 
chadema kama hawatajitathmini na udini wao waliojuza kichwani kuona waislam sio kitu chochote sio lolote, wasitegemee kitu


Mdogo wangu usikurupuke...
Kati ya viongozi 6 wa juu wa CHADEMA wakristo ni wawili na waislam ni wanne.
sasa hapo huo udini mnaoupandikiza na kusema CHADEMA ni chama cha wakristo uko wapi?
Fanya uchunguzi kabla ya kuandika, itakujengea heshima hapa Jamvini.
 
Kma tungekuwa tumeshindwa Arusha, Mbeya, DSM,Kilimanjaro na sehemu zingine ambako oparation Sangara na M4C imepita roho ingeniuma sana lakini si huko.Na watu wa Rufiji wanatakiwa kuamka ili kupigania haki na maendeleo yao cause no one will come from no where to fight for them,kundelea kuikumbatia CCM ni kukumbatia umasikini, ujinga na maradhi.
 
Ndugu katika Bwana nakuunga mkono kabisa hawa Chadema ni genge flani la wahuni watakao kupandikiza chuki miongoni mwa jamii ili baadae yatokee machafuko yatupasa kukemea sana hizi nyoyo zao katili WASHINDWE NA WALEGEE KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI


User Name: Mch Kimaro
User Title: Member
Last Activity: Today 14:03...

We kweli ni Kimaro.
Yaani akili yako inakutuma Yesu yuko HAI tu?
Yesu Kristo yuko pia SIHA, KIBORLONI, BOMA NG'OMBE, SANYA JUU, MARANGU, KASHASHI, NAIBILI, MOSHI MJINI, ROMBO, HIMO NA KWENGINEKO.
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
Kaka huko si kwa wale ma yakhe ambao elimu yao ni duni (0%), kila kitu huambiwa na kukubali. Haitupi shida CDM kwani ipo siku watakuja kugundua kuwa walikuwa wajinga.
 
ndo maana hamuendelei waswahili ambao hamjaenda shule..vichwa vimejaa madufu, na sumu zisizo na udhibitisho,hivi ni kwa nini sisi waislam tunapenda kung'ang'ani vitu vya kuambiwa bila kushirikisha ubongo?mnaisi wakristo wana ajenda yoyote ya siri?someni kwanza..rufiji nyie maskini wa kiakili na kiuchumi wakutupwa mnachoshangilia nini?
 
nimeamini kuna watu wanalipwa kwa ajili ya kuja kuandika habari za uongo na kuingilia mada zenye mashiko na kisha kuandika utumbo na kupoteza Dira...

Tazama thread hii aliyeileta ana muda gani hapa jamvini, kisha tazama huyo mpesa pesa na huyo mchungaji Kimario waanae msapoti, utagundua kuwa woote ni wageni, na wapo hapa kwa ajili kuandika utumbo, kuandika data zisizo na uhakika wala vyanzo.

USHAURI...
Kabla ya kuchangia thread nashauri kila mtu makini aangalie thread imeandikwa na nani na je ana muda gani hapa jamvini.

Imefika wakati udikteta na ubaguzi uhalalishwe JF......
 
Hovyo hovyo tu,maskini akipata bwana masaburi hulia mbwata.Naona hayajashinda mda mrefu sana ndo maana kelele kibao
 
Hivi Rufiji nayo unaweza kuihesabu kama ni sehemu wanayoishi binadamu wenye akili timamu! Mwenye elimu kubwa ni Madras Juzuu 7.

Jinsi unavyo wadharau WAislam Ndio unazini kuongeza kasi ya WAislam juu kuichukia chadema so kua muangalifu wakristo pekeyake hawawezi kuipeleka chadema ikulu ....sobecarefull unachokiandika inasomwa na wengi nahao wengi watawaambia wengine
 
Back
Top Bottom