Wadau toka jana nimejaribu kutafakari pasipo kupata majibu sahihi kuhusu gazeti linalo itwa Sauti Huru na habari zake zzote zimekaa kishabiki na kichochezi ambapo hazina hata uzito na mashiko hata kidogo
Wewe unasoma gazeti tu siku moja hlf unatoa hoja, mbona huyaongelei magazeti ya uhuru, the citizen, habari leo nk. Au unafikiri kwa kutumia makalio nini?
Wewe unasoma gazeti tu siku moja hlf unatoa hoja, mbona huyaongelei magazeti ya uhuru, the citizen, habari leo nk. Au unafikiri kwa kutumia makalio nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.