CHADEMA, video ya Lwakatare ukweli wake huu hapa

Status
Not open for further replies.

lonesome

Senior Member
Oct 10, 2010
195
64
Binafs sijawa nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA SERA NA UJASIRI WAKE.NOW C.MTIKILA NLIYEMFAHAMU HAYUPO NASI WATANGANYIKA.KWA SASA NAANGALIA MTU BINAFS BILA KUJAL CHAMA.
CHADEMA MNA MAMBO KADHAA YA KUYAANGALIA KTK SAKATA HILI LA LWAKATARE
1. hebu angalieni uhalali wa ile video kwa makin na kwa kutumia wataalam msikanushe tu kuwa ni fake bila kuja na hoja za kitaalamu
2. muwe wa kwel kama mnamfaham ludovic au hamumfaham na mnafahm kias gan.then hapo mtajipanga zaid kujua kwa nin alirecord hyo video
3. mjiangalie ni wap mlipokosea.ni kwa dr slaa,mbowe,zitto,lwakatare,ludovic? na hapo pia muwe tayar kukabiliana na matokeo yake.
4. kama mlikuwa mnatumia strategy hizo kuwanyamazisha wapinzan wa watu flan ndan ya chama na nje.ni strategy mbaya kabisa na totally inhuman hilo hatuwez lifumbia macho ni kama CCM wanavyo deal na wapinzan flan.
5. mnamjua vizur lwakatare?alipataje cheo cha kuwa kitengo cha usalama,alisomea mambo hayo wap kwa kiwango gan.
6. ludovic anawajua ninyi kwa kiwango gan na yukoje sasa....state of mind.je hatoongea zaid na zaid kama kuna mengne.je nyuma yake wapo akina nan?
7. msiendeshe jambo hil kishabik.mje na hoja mujarab na za kisayans na si kushabikia tu
8. kuna uhusiano gan ktk ya video hiyo na CCM? aliposema mwigulu mchemba ana video yenu mkipanga kufanya mauaji mlichukua hatua gani?
9. mjihadhar na vita ya kugombea madaraka ndan ya chama chenu hiyo itawahaaribu sana.msimfanye zitto adui wala dr slaa adui.hakuna aliyezaliwa awe kiongoz.kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?
10. kaeni mjitafakari kwa kina mwenendo wa chama chenu na taswira yake ktk jamii.msisahau ilikuwepo NCCR MAGEUZI,CUF na sasa mnawaona walivyo.
 
Heading na content ni vitu viwili tofauti..........by the way sio maswali yako yanaweza kuwa na maana
 
Mleta mada umegusa mambo mhm sana lakini subiri matusi kutoka kwa vijana wako apa utaniambia, yangu macho.
 
Hili Suala si la CHADEMA peke yao bali ni kwa wote wanaoitakia kheri nchi hii. Hata wewe linakuhusu usijitoe.


Hata mimi naamini hivyo kwamba hii inamhusu kila mmoja wetu. (MTZ mwenye uchungu wa kweli na nchi yake na mwenye utaifa)
Mimi kinachonisumbua na kinachonikatisha tamaa ni kwanini hawa watu wa Usalama wasifanye kazi watumie mitandao kupata simple evidences. Hii inaonyesha kuwa wamerelax kiasi kikubwa hawafanyi tena kazi. Wapo wapo tu.
 
Dah...Wewe umepotea njia nini ?

Makamanda hawakosei...kwa ujumla wao ni kama malaika....unapata ujasiri wapi wa kuwashuku ?
 
Hayo yote unayoshauri walishayaona zamani. Ni heri ungekaa kimya. Au unadhani kuna kipya hapo mkuu?
 
Iko shaghala baghala mno kuweza kupata mantiki ya uzi. nimeshindwa kuelewa, nani hanjui nani ndani na nje ya CDM kuhusiana na suala la Lwakatare.

Tafadhali, wenye kuuelewa huo uzi mtusaidie nasi pia.
 
Swala liko mahakamani usiwe mtovu wa nidhamu kwa mahakama zetu.Mahakama ndiyo itakayotoa majibu ya mbivu na mbichi, kwanza hebu tuache tunaugeni muhimu mzee Xi Jinping. hata maandamano yamesitishwa tunahitaji utulivu
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama haupendwi na watu wengi na uongo utabaki kuwa uongo tu hata kama unapendwa na watu wengi. binafsi najiuliza sana huyu ludovick ana uhusino gani na cdm, na alikuwa na deal gani na lwekatere hadi kufanya naye mkutano nyumbani kwa lwekatare lkn majibu ya hayo yanapigwa chenga na cdm.
 
Hao watu unaowaambia hawapendi ukweli usemwe
Mkuu hiyo thread ni yako peke yako au namna gani mkuu, naona una post mara kumi kumi, By the way, ni ukweli gani aliousema mleta mada zaidi ya kuuliza tu maswali ambayo hata yeye anahitaji majibu.Kwa sababu unazozijua mwenyewe umeamua kuwa mtu asiyefikiri, jitathimini upya.
 
Laiti kama wangemuhoji aliyeiweka hiyo video mtandaoni, ningewaona at least wanazo japo za kuvukia barabara. Kumtenga aliyeiweka hiyo Video mtandaoni, ili aweze kuwa shahidi namba moja huku Ukitegemea haki itatendeka hapo itakuwa ni kichekesho cha mwaka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom