Binafs sijawa nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA SERA NA UJASIRI WAKE.NOW C.MTIKILA NLIYEMFAHAMU HAYUPO NASI WATANGANYIKA.KWA SASA NAANGALIA MTU BINAFS BILA KUJAL CHAMA.
CHADEMA MNA MAMBO KADHAA YA KUYAANGALIA KTK SAKATA HILI LA LWAKATARE
1. hebu angalieni uhalali wa ile video kwa makin na kwa kutumia wataalam msikanushe tu kuwa ni fake bila kuja na hoja za kitaalamu
2. muwe wa kwel kama mnamfaham ludovic au hamumfaham na mnafahm kias gan.then hapo mtajipanga zaid kujua kwa nin alirecord hyo video
3. mjiangalie ni wap mlipokosea.ni kwa dr slaa,mbowe,zitto,lwakatare,ludovic? na hapo pia muwe tayar kukabiliana na matokeo yake.
4. kama mlikuwa mnatumia strategy hizo kuwanyamazisha wapinzan wa watu flan ndan ya chama na nje.ni strategy mbaya kabisa na totally inhuman hilo hatuwez lifumbia macho ni kama CCM wanavyo deal na wapinzan flan.
5. mnamjua vizur lwakatare?alipataje cheo cha kuwa kitengo cha usalama,alisomea mambo hayo wap kwa kiwango gan.
6. ludovic anawajua ninyi kwa kiwango gan na yukoje sasa....state of mind.je hatoongea zaid na zaid kama kuna mengne.je nyuma yake wapo akina nan?
7. msiendeshe jambo hil kishabik.mje na hoja mujarab na za kisayans na si kushabikia tu
8. kuna uhusiano gan ktk ya video hiyo na CCM? aliposema mwigulu mchemba ana video yenu mkipanga kufanya mauaji mlichukua hatua gani?
9. mjihadhar na vita ya kugombea madaraka ndan ya chama chenu hiyo itawahaaribu sana.msimfanye zitto adui wala dr slaa adui.hakuna aliyezaliwa awe kiongoz.kama hal mbaya inaletwa na watu flan waondoen ktk nafas hiyo wanayoitaka au viongoz CDM ni hao hao tu?
10. kaeni mjitafakari kwa kina mwenendo wa chama chenu na taswira yake ktk jamii.msisahau ilikuwepo NCCR MAGEUZI,CUF na sasa mnawaona walivyo.