CHADEMA: Usalama wa Taifa unatengeneza Ushahidi katika kesi ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
CHAMA GANI? MAANA DR SLAA ALITUAMBIA KUWA ZAIDI YA NUSU YA MAAFISA USALAMA WANARIPOTI KWAKE. KAMA CHADEMA wanamiliki zaidi ya nusu ya maafisa usalama, basi tuamini tu kuwa kuharibika kwa mambo yote hapa nchini chadema wanachangia. vinginevyo dr slaa ajitokeze na kufuta kauli yake hiyo
Kaibuka mwingine huyo toka usingizini, naona wako wengi wanafanya kupokezana hapa, haya endelea maana malipo yenu hayana shida ni Lumumba tuu!!!! Ila na nyinyi mtalaaniwa na Mungu kutumia fedha zetu kwa mipango ya kutukandamiza!!!

 
Chadema hii kesi ya Rwakatare lazima iwafute kwenye siasa.
Nadhani itawajenga na kuwaongezea umakini zaidi. !

Hawajatuhumiwa kuteka, lkn kunawaliotuhumiwa live kama ile ya Dr Ulimboka hata uwe mbumbumbu kiasi gani, ukweli unasimama palepale!
 
Unasema basi limeoza halafu unagombania tiketi ya kulipanda.

Hizi kauli za chadema zinazosababishwa na kukosa uzalendo zitawagharimu sana.

Yaani wewe ndo sio mzalendo kwa sababu zifuatazo.
1.kushabikia ccm kwa maksudi ukijua wazi inatafuna taifa letu na kukimbiza rasilimali zetu nje mfano mchongo wenu kuitaka tanesko ilipe 96 bil hili zitumike 2015
2.kujiita zemarcopolo
 
Mtoboasiri

Mkuu hii ni enzi ya dijitali, au "digital age" kumbukumbu hazichomeki moto na kugeuzwa jivu.

Link ya Slaa kusema kwamba nusu ya usalama wa taifa unaripoti kwake ni hii hapa chini

Iliwekwa hapa na Maggid Mjengwa

» Blog Archive » Dr Slaa: Nusu Ya Usalama Wa Taifa Unaripoti Kwangu

Well hata tukiamua tukubaliane na hicho kilichoandikwa bila kujali ni maneno ya Dr Slaa kweli au ni uzushi; this means NUSU yao hawa-ripoti kwake. Na kwa kuwa hatujui kuwa hiyo nusu inayo-ripoti kwake ni wa ngazi ipi kiutawala ndani ya usalama wa taifa, kwa kutumia akili kidogo tu mtu hawezi kujiuliza tena kwa nini CHADEMA wasiwe na imani na usalama wa taifa.
 
Mkuu vipi ile ya Ulimboka kumtaja polisi live?
Hii iliitoa vipi ccm kwenye siasa?
Maana hili la Lwakatare mimi naliona ni dogo kuliko lile la kumtaja mtuhumiwa live.

NI KAMA MLIVYOANDIKA KWENYE TUKIO LA KIBANDA KUWA ALISIKIA MMOJA AKISEMA......'AFANDE.. MSHOOT HUYO! wenyewe wamekanusha yote muyasemayo na hakika ukweli utajulikana
 
Eeleza elezea ukweli wako basi.
unapokuwa unapinga hoja ni vyema kuja na hoja dhidi ya hoja unayopinga. Huwezi kusema hapana kwa swali lisiloulizwa

fungua macho na masikio uone na usikie sijui unataka hoja zipi zaidi zile ambazo umekuwa ukielezwa day to day au umezoea hoja zenu za kigaid na kuuwa watu.
 
Well hata tukiamua tukubaliane na hicho kilichoandikwa bila kujali ni maneno ya Dr Slaa kweli au ni uzushi; this means NUSU yao hawa-ripoti kwake. Na kwa kuwa hatujui kuwa hiyo nusu inayo-ripoti kwake ni wa ngazi ipi kiutawala ndani ya usalama wa taifa, kwa kutumia akili kidogo tu mtu hawezi kujiuliza tena kwa nini CHADEMA wasiwe na imani na usalama wa taifa.

wewe unataka kupindisha ukweli. Dr Slaa mwenyewe hajawagawa kivyeo. amesema zaidi ya nusu ya maafisa usalama wanaripoti kwake. wewe unaanza kuchakachua kwa kuwagawa kivyeo
 
Unasema basi limeoza halafu unagombania tiketi ya kulipanda.

Hizi kauli za chadema zinazosababishwa na kukosa uzalendo zitawagharimu sana.

Wote wanaoshabikia uhuni unaoendelea hapa nchini wa vyombo vya dola ndio watakuwa wa kwanza kuteleza kwenye miti yote waliyoshika.Haijawahi kutokea katika nchi hii vyombo vya dola kushiriki kuhatarisha Amani kwa kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi kama kipindi hiki.YEYOTE MWENYE KUINGIA MSIKITINI AMA KANISANISANI ILIHALI AMEJAWA HALI YA KUUWA,WIVU,UCHAWI,HUJUMA,ULAFI NA TUHUMA HAKIKA ANAMKUFURU MUNGU.MACCM HUU USHABIKI WENU YAFAA MKAE MTAFAKARI JE MNAFANYA HAYO KWA FAIDA YA NANI IN FUTURE?AU MNATAKA MUIACHE SERIKALI YA CHADEMA IKIWA NA KAZI KUBWA YA KUJENGA UPYA MSINGI WA AMANI,UPENDO NA MSHIKAMANO WA TAIFA?SOMENI HII KANUNI KWA MAKINI;JANGA=MAAFA +MADHARA
 
NI KAMA MLIVYOANDIKA KWENYE TUKIO LA KIBANDA KUWA ALISIKIA MMOJA AKISEMA......'AFANDE.. MSHOOT HUYO! wenyewe wamekanusha yote muyasemayo na hakika ukweli utajulikana

Maafande wapo wengi siku hizi, wale wa makampuni binafsi nk. Lkn la Ulimboka lilikuwa halina chenga kabisa, ingekuwa nchi nyingine zenye kufuata utawala wa sheria, Wahusika wangekuwa wamesha kamatwa na kufunguliwa mashtaka.
 
wewe unataka kupindisha ukweli. Dr Slaa mwenyewe hajawagawa kivyeo. amesema zaidi ya nusu ya maafisa usalama wanaripoti kwake. wewe unaanza kuchakachua kwa kuwagawa kivyeo

Huelewi nilichokisema, ama soma vizuri the whole statement au omba mtu akueleweshe.
 
Jinsi chadema isivyoamini usalama wa taifa ni bayana kuwa chadema washajua kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola. Huwezi kutaka kuongoza dola wakati huamini vyombo vya usalama.
Hii ni sawa na mtu ambaye anasema madaktari wanataka kumuua halafu anaenda hospitali kwao kufanyiwa operation!!!

ANC ya SA pia ingeviamini vyombo vya usalama vya Serikali iliyokuwa madarakani ya Makaburu, mpaka leo Mzee Mandela angekuwa anafia gerezani!
 

Hoja yako haina mashiko kabisa.
CCM wenyewe huwaga hawaiamini Usalama wa Taifa Wanayoikuta baada ya Uchaguzi; Sembuse chama kingine? We una details zote kwanini Imran Kombe alikufa? Unajua nini kilimuua Walingozi? Kwanza unawajua hao watu walikuwa na nyadhfa gani kule UWT? We unajua kwanini Kikwete ali-flush out Professionals na kujaza rookies kule mara tu baada ya kuingia madarakani? Au unapenda tu kuropoka-ropoka humu JF kwa sabu tu una kilaptop na unazo ndoto CCM itatawala milele

CCM does not always trust TISS. Why should CHADEMA trust TISS. Labda niseme kama kweli Mungu hupokea Maombi ya binadamu na kuyatendewa kazi, come a new government in 2015 and the first place to flush out rookies ni UWT. Na wao wanalijua hili ndo maana wako buze sana kutibua harakati za mabadiliko. Cha kuwakumbusha kiwe ni hiki; kwamba hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.

Wangekuwa na busara wangekuwa neutral. And they are not. They are terribly one sided in favor of CCM. Na hii itawa-cost huko mbele.

Oooh YES a great thinker ever seen.Wao lazima wawe bussy kuwabeba watawala, lakini akiingia rais elect tu kosa lazima panga lipite kwao whether from ccm or cdm.Hawa ni wajinga bora wangekuwa neutral.ila ni kweli TISS imejaa unprofessional figures few of them are.
 
Mwisho wa hili sakata, kuna mmoja atajivua nguo hadharani na kupata aibu kuu na ndio utakua mwisho wake
 
ZeMarcopolo ebu kuwa na akili kidogo, ulisikia wapi kuwa kila mmoja anawaunga mkono, kwa sasa usalama wa taifa wengi wako upinzani. Ambacho hamjui ni kuwa kwa sababu kuna wachache mnakula nao na kushirikiana kufanya uhalifu, so mnaamini kila mmoja wao anawafurahia. Jitahidi kufikiria, na tulishawambia kuwa nyumba yenu ina nyufa sasa bado mnafikiria itaendelea kudumu. Pole sana.

Hata nyerere alisema wakati wanaanzisha mfumo wa vyama vingi kuwa''Hata ndani ya mfumo wa chama kimoja wapinzani wapo, na ndiyo maana tumeona tuweke makundi mawili yenye mlengo tofauti ili kuimarisha demokrasia maana wapo hata leo wanaotupinga ndani ya chama'' by JK.Nyerere
 
Kwa aliyoyasema Lissu nina imani CCM mnahitaji kujipanga upya. Chezea Chadema wewe kwa mambo ya Intelijensia ni zaidi ya TISS. Ukiona unapata misukosuko mingi ujue ushindi unakaribia tumeanza na mungu na tutamaliza na mungu. Wao wana dola si tuna mungu!
 
Maafande wapo wengi siku hizi, wale wa makampuni binafsi nk. Lkn la Ulimboka lilikuwa halina chenga kabisa, ingekuwa nchi nyingine zenye kufuata utawala wa sheria, Wahusika wangekuwa wamesha kamatwa na kufunguliwa mashtaka.

nani alithibitisha madai hayo kama si udaku wa gazeti la mwanahalisi. na bora limefungiwa na lisifunguliwe tena maana kubenea alikuwa anajipendekeza sana kwa akina slaa na wanaharakati ili tu apate kula
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom