CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

Siyo mnyika tu chadema ni Academ Kama ya ajax amsterdam ambayo hua inalea watoto na kuwauzia club kubwa za ulaya ,chukueni mnyika na wengine mnaowataka lkn kaeni mkijua cdm ni taasis kubwa na hazina ya vijana wanaotumia akili kubwa sio matumbo kama uvccm
Kwa akili zenu, mmeandika wenyewe ila mnashindwa tambua kuwa mnachosema hapa ni kwamba piga ua, chama kinanunulika.
Inasikitisha na kushangaza kuona kwamba ccm ya Leo inaona ni ufahari mkubwa sana kurubuni na kupata mchezaji wa CDM/CUF.

Yani hapa inakiri kuwa ccm inawachezaji mizigo na wachezaji wazuri ni lazma inunue wa timu pinzani ili iweze kusonga mbele.

Kwakweli CDM imeweza kuwajaza CCM na wamejaa hasa. Tukaze tu watazidi kukatika na kupoteana.
 
Haya buana

..hivi mnafikiri ni wangapi walipewa fedha na Mwalimu Nyerere ili kuunga mkono Azimio la Arusha?

..msifikiri wenye matatizo ni upinzani peke yao.

..ccm kuna tatizo kubwa zaidi kwamba sasa chama kimeishiwa hoja zenye ushawishi kimebakia kununua watu toka vyama upinzani.

..sasa wapinzani wakiisha mkiwa hamna wa kumnunua ili muonekane mnachapa kazi mtafanya nini?

..Uwezekano mkubwa mtaingia ktk biashara mbaya zaidi ya hii ya kuhonga watu kwa pesa.
 
..sasa huyo mfuga watumwa au mnunua watumwa KIMAADILI ni mtu mbaya zaidi.

..Mtumwa inawezekana kuwa uonyonge na umasikini wake umesababisha akubali kuwa Mtumwa.

..Sasa huyo bwana amesukumwa na nini mpaka kuwashika wenzake utumwa? Bila shaka atakuwa ni mtu aliyekosa UTU na asiyethamini HESHIMA YA MWANAADAMU.

..kama siasa ni ideology basi watu hawapaswi kununuliwa ili kufuata ideology husika.

..Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hawaku akishawishi watu kwa fedha ili kujiunga na chama au kumuunga mkono.
Inasikitisha sana. chadema walimlipa wema pesa kabla ya kujiunga nao. Hakuna upande wenye unafuu.
 
Sitashangaa kama Kijana wa Lumumba atashindwa elewa tulichoandikaana elimu yenu ni ya MEMKWA.
20171203_183030.png
 
Mm sijaelewa hivi vyama vya siasa siku hizi vimekuwa kama vilabu vya soka kusajili wachezaji?
 
CHADEMA imekanusha tetesi zinazosambazwa kuwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amejivua uanachama wa chama hicho.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kimesema wanaozisambaza taarifa hizo ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania.

chadema+clip.jpg
 
Mange kasema ni kweli jamaa anaenda chama cha kijani na njano kaeni mkao wa kula
 
Back
Top Bottom