CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

Nakumbuka Yericko wakati ule alimsemea Dr. Slaa katika kipindi cha sekeseke la "kumkaribisha'" The lone and only one Laigwanani. Dr. Slaa alikanusha vikali na kumchimba mkwara mzito Yericko. Natarajia hili halitajitokeza kwa John.
 
Mnyika hatokaaa ahamie CCM na ikitokea hilo basi ujue upinzani umekufa rasmi maana ndio kijana loyal kwenye chama ukiachana na Benson kigaila ila amekuwa kimya possibly kwa sababu slaa alisusa pia kunyimwa ukatibu mkuu kulimfrustrate sana

Anyway ni maamuzi yake akiamua kusaliti mabadiliko aliyoyaanzisha mwenyewe
 
Nadhani wapo kwenye majadiliano. Siyoshanga kusikia mmoja kafika bei. Kuna wa vyama vingine naona wana/watachukuliwa tu hata kwa mkopo. Mana wanaona wasipoondoka kwenda CCM watashuka daraja na team yao.
 
Kama wapinzani wananunuliwa basi hawafai kuwa viongozi wanaweza uza nchi yetu.
Lisemwalo lipo

..hata anayenunua naye hafai.

..kwasababu huyo kwa imani yake mambo ya siasa na uongozi yanakwenda kwa kununuana.
 
haya mambo mengine ilibidi Mnyika mwenyewe ndo ayajibu maana ana twitter account iliyo active sasa chama kumjibia mtu ambaye ana uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kujibu na kupangua hoja za ccm inatia mashaka.....
 
..hata anayenunua naye hafai.

..kwasababu huyo kwa imani yake mambo ya siasa na uongozi yanakwenda kwa kununuana.
Anayenunua ni Boss anayenunuliwa ni mtumwa so. Wapinzani ni watumwa wa CCM na inatupa picha kwamba Wapinzani hawana mfumo mzuri wa uongozi. Yaani mpaka unanunuliwa. Siasa ni Ideology.
 
Kujivua,kuvuliwa,na kutojivua hilo si swala la msingi kwetu.Jambo la msingi ni kuona kuwa taasisi inaendeshwa kisayansi au kwa mazowea?
 
haya mambo mengine ilibidi Mnyika mwenyewe ndo ayajibu maana ana twitter account iliyo active sasa chama kumjibia mtu ambaye ana uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kujibu na kupangua hoja za ccm inatia mashaka.....
Umejaza shudu huku

Elewa nafasi ya chama na mwanachama mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom