Ni walewale,wambeya.Wewe mtoa taarifa ni nani?
Maana hawa wanasiasa wakati mwingine hawaminiki ......Umeongea nae?? Maana huwa hata mvua za mawe huanza kwa lashalasha hivihivi..
Messi tena??Siku wakimpata huyu mesi wetu,watavunja kibobo cha bank kuu,na ccm itafilisika rasmi
Sasa hivi mpo kwenye defensive mode,chama hakiwezi kumjibia kiongozi,suala la kuhama chama halihitaji baraka za kamati kuuuwezi kunielewa kama upo Lumumba mimi si Nyoka wa Kijani ni Mwandishi wa Habari
Naona unaanza kukubaliana na hali halisi!Sasa hivi wangalau Lissu akihama ndio nitashtuka. Hao wengine kuanzia Mbowe nk wala sintoshangaa au kuumia.
Nenda kashtaki kwa MLOWOLA mnyika kakataa kupokea rushwaWewe mtoa taarifa ni nani?
Mm ni mpk nihamie ccm mwenyewe ndiyo nitaamini kwamba jamaa anapiga kaziHahahaha
Siku nikisia Tundu Lissu kahamia CCM ndio nitaamini kuwa kweli jamaa anapiga kazi iliyo TUKUKA
Kwahiyo unathibitisha kwamba wabunge wetu wananunulika!Inasikitisha na kushangaza kuona kwamba ccm ya Leo inaona ni ufahari mkubwa sana kurubuni na kupata mchezaji wa CDM/CUF.
Yani hapa inakiri kuwa ccm inawachezaji mizigo na wachezaji wazuri ni lazma inunue wa timu pinzani ili iweze kusonga mbele.
Kwakweli CDM imeweza kuwajaza CCM na wamejaa hasa. Tukaze tu watazidi kukatika na kupoteana.