Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

mbona zina rangi ya chama changu na pasco na fmes ''tulichokizoea?''
 
Ni juavyo mimi hizi Ambulance zilikuwa ahadi za Godbless Lema tangu alipo shinda, kuna watu huko Uk wali mwahidi.......
 
Zinauwezo wa kupakiza ambulance nne za JK za vibajaji pamoja na akina mama wajawazito wote humo humo!
Peeepooooozzzz!
Walah M4C ni chiboko
 
Utaipenda CDM tuu maana wao wanaenda kwa vitendo sio hawa Magamba miaka 50 sasa lakn hawana cha kujivunia
 
bado ile kitu naruka juu ya anga ,ikija hawa magamba kwishneiii M4C BABA lao
 
Nape karibia aombe kujiudhuru usemaji wa mabwepande M4C speed inakuwa ya supersonic wakati yeye anabajaj
 
Back
Top Bottom