Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600
 
we acha tu sisi tupo tayari kuweka mafuta na kuzifanyia maintanance, Mnatisha wana m4c UK!!
 
Maneno na rangi tofauti,am sure mwanzisha uzi hajaona hzo rangi na muda huu nape atakuja utamsikia magari ni ya c.c.m...wakuu mnaotoa misaada mkumbuke hata kubadili rangi lol,shame on ya.
 
Mtu anatoa mchango alafu unamuambia shame on you kwa sababu ya rangi tu??
 
Kuna watu wanaamini kuwa wapenzi wote wa timu ya Yanga wanaipenda CCM na ukiwa mwana CCM basi wewe lazima ni mpenzi wa Yanga.
 
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600

God bless you guys, I can assure you many lives will be saved through the use of these ambulances.
 
Hongereni sana makamanda wa UK. Hizo Rangi sio Tazito sana tutaziffanyi maujanja. Watu wengi wataokoka.
 
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
Sisi tukiahidi tunatimiza,
600
Wale waliogoma ulaji huo, mna sijui zitaenda hospitali gani ya serikali?
 
Back
Top Bottom