CHADEMA tunalaani kauli za UDINI za Spika Ubunge EALA

kama dogo
na huyu jamaa anayejiita john MREMA NI MIONGON MWA WALIOKULA PESA ZA LOWASA 2015 , huyu jamaa kapiga hela sana kama hakujenga WALAU ghorofa basi atakuwa ni fala fala
kama dogo kapiga mkwanja mrefu,,, je babalao dicteta amepewa ngp kwa kuuza chama
 
naomba unijibu basi kulikuwa kuna haja gani wabunge kuwapigia kura kama mlitaka waliochaguliwa na MBOWE ndo wa shinde hata kushisndwa nako ni democrasia
Ile kauli kwamba kiongozi uwekwa na Mungu ina maana pana sana.
Ndio maana tunajua katika ulimwengu wa Kimungu kila kitu kiko perfect na ukikuta mfano kiumbe chenye disabilities tunajua ni mpango wa Mungu kukiumba hivyo ili kitu kingine kitimie na sio kwamba alishindwa kukiumba kikiwa kamili.
Huo mfano unaweza kuulink na ushauri wa Gwajima kwa Mdee ...hakuna namna, inabidi ukubaliane na aliyepo ili siku zipite na sio 'ili malengo yatimie'!
 
Back
Top Bottom