BROWN MAJALIWA
New Member
- Jan 26, 2011
- 1
- 0
Kaa mkitambua kua kushindwa kwa Chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa Chama, kama alivyosema Baba wa taifa.Basi hawa, hawafanyi uzembe.Nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo mnajifanya mnaamka.Wakati wengine wanapo fanya kazi usiku na mchana nyie hampo.Sasa mnalaumu nini wanapoendelea kuongoza kila baada ya miaka mitano.Miaka mitano inatosha sana kuafundisha chama raia.Nashindwa kuwaelewa.
Poleni sana.
Poleni sana.