CHADEMA siwaeliwi

BROWN MAJALIWA

New Member
Jan 26, 2011
1
0
Kaa mkitambua kua kushindwa kwa Chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa Chama, kama alivyosema Baba wa taifa.Basi hawa, hawafanyi uzembe.Nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo mnajifanya mnaamka.Wakati wengine wanapo fanya kazi usiku na mchana nyie hampo.Sasa mnalaumu nini wanapoendelea kuongoza kila baada ya miaka mitano.Miaka mitano inatosha sana kuafundisha chama raia.Nashindwa kuwaelewa.
Poleni sana.
 
kaa mkitambua kua kushindwa kwa chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa chama, kama alivyosema baba wa taifa.basi hawa, hawafanyi uzembe.nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo mnajifanya mnaamka.wakati wengine wanapo fanya kazi usiku na mchana nyie hampo.sasa mnalaumu nini wanapoendelea kuongoza kila baada ya miaka mitano.miaka mitano inatosha sana kuafundisha chama raia.nashindwa kuwaelewa.
Poleni sana.

kakojoe ulale
 
Join DateWed Jan 2011Posts1ThanksThanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0
go to hell
 
Sio huwaelewi hawa jamaa hawaeleweki ,yaani huwezi kutambua kama ni chama cha siasa au chama cha mipasho bungeni.
 
Kaa mkitambua kua kushindwa kwa Chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa Chama, kama alivyosema Baba wa taifa.Basi hawa, hawafanyi uzembe.Nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo mnajifanya mnaamka.Wakati wengine wanapo fanya kazi usiku na mchana nyie hampo.Sasa mnalaumu nini wanapoendelea kuongoza kila baada ya miaka mitano.Miaka mitano inatosha sana kuafundisha chama raia.Nashindwa kuwaelewa.
Poleni sana.

mbona sikuelewi...au hauna meno.... bandiko lako halina kichwa wala kiuno.... hii ni tabu ingine kuanza kutafsiri thread za watu
 
Sio huwaelewi hawa jamaa hawaeleweki ,yaani huwezi kutambua kama ni chama cha siasa au chama cha mipasho bungeni.

mwiba amin kuwa kifo chenu kimefika,sikia mnaanza kukimbia mikutano ya maendeleo,akili au matope?au ndo maagizo ya luten makamba?just dig your own grave,,,km mkwere ni the leading president in the world ktk mipasho unategemea nini??
 
Huwaelewi wewe ni nani?

Kwa nini ni muhimu wewe uwaelewe?

Au kwa sababu unajua kusoma na kuandika ila hujui kufikiri?

Elimu ya Tanzania ni kujua kusoma, kuandika na kuhesabu na ndiyo umeizingatia. Kufikiri ni juhudi binafsi. Inabidi uanze usisubiri zaidi kwa sababu hakuna muda wa uchaguzi wa wasiojua na wanaojua kufikiri. Mawazo kwenye post zako humu jamvini ndio yanayotoa matokeo!

And, sio kwa kuanzana na CDM ndio unakuwa maarufu haraka! Toa mawazo yako kuhusu National Debt, Political Instability etc utafanikiwa pia!
 
mwiba amin kuwa kifo chenu kimefika,sikia mnaanza kukimbia mikutano ya maendeleo,akili au matope?au ndo maagizo ya luten makamba?just dig your own grave,,,km mkwere ni the leading president in the world ktk mipasho unategemea nini??
Kifo kipi kimekaribia ? Kama huelewi hapa tulipo kwa wakati huu ,CCM inatayarisha mrithi wa 2015 ambae atamliza mgombea wa Chadema Professor Safari.
 
Join DateWed Jan 2011Posts1ThanksThanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0
go to hell

Escober, hivi huyu badala ya kujiuliza yeye alikuwa wapi mpaka Jan 25th ndio anajiunga JF anajiuliza CDM wako wapi kabla ya 2015!!! Alitaka wafanyaje ambacho hawajafanya toka NOV 2010 TO JAN 2011?

Hawa hawanatofauti na wahanga pikipiki za tonda.....vifo vyao ndio vinalipia fedha za kuendesha mortuary, majeraha yao yanalipia bill za umeme! So conclusion....tonda sio mbaya sana! Acha ziwepo!
 
Kifo kipi kimekaribia ? Kama huelewi hapa tulipo kwa wakati huu ,CCM inatayarisha mrithi wa 2015 ambae atamliza mgombea wa Chadema Professor Safari.

wewe mtetea.. mbona unahangaika sana, haujapata jogoo....pumba zako hazina wateja
 
Kaa mkitambua kua kushindwa kwa Chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa Chama, kama alivyosema Baba wa taifa.Basi hawa, hawafanyi uzembe.Nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo mnajifanya mnaamka.Wakati wengine wanapo fanya kazi usiku na mchana nyie hampo.Sasa mnalaumu nini wanapoendelea kuongoza kila baada ya miaka mitano.Miaka mitano inatosha sana kuafundisha chama raia.Nashindwa kuwaelewa.
Poleni sana.

Dogo Brown hii siyo facebook. Hapa hatuuzi sura hapa zinashushwa nondo tu kulaleki.
Kaa vizuri huko.
 
Unanipeleka ambako sitaki kwenda ,maana tokea ukoo wako upate majogoo ,wamekuwa adimu maana hata vichwa mnameza.
 
mwiba ... nani asiyekujua humu JF .... mtetea na yai nani alianza.... jogoo lazima litafute mtetea hata kama bado unataga
 
Ha ha ha unanifananisha na baba yako.Yaani sasa kila mtu unamuona kafanana na jamii yenu.
 
Kaa mkitambua kua kushindwa kwa Chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa Chama, kama alivyosema Baba wa taifa.Basi hawa, hawafanyi uzembe.Nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo mnajifanya mnaamka.Wakati wengine wanapo fanya kazi usiku na mchana nyie hampo.Sasa mnalaumu nini wanapoendelea kuongoza kila baada ya miaka mitano.Miaka mitano inatosha sana kuafundisha chama raia.Nashindwa kuwaelewa.
Poleni sana.

Mkuu umeingia na "suit" yako bila hata hodi na unaanzisha hoja!!! Karibu sana na suti ya bluu na viatu vya brown!!!!!...
Umetokea wapi kwanza?
 
Dogo Brown hii siyo facebook. Hapa hatuuzi sura hapa zinashushwa nondo tu kulaleki.
Kaa vizuri huko.

Nimemwona mkuu kule facebook kwanza mtu mwenyewe mgeni hata facebook na anakuja hapa kupitia mlango wa uwani. nimepata sababu zinazomfanya awatetee mafisadi. Kweli anauza sura!
 
Back
Top Bottom