Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #81
Umemsikia Mbowe akizungumzia lolote kuhusu hao wabunge 19?
Zamani niliwahi kuwaza hilo, lakini yaliyomkuta Lissu, Mbowe, Lema, Sugu na viongozi wengine wa Chadema ndio nikajua hawana uhusiano huo.
Ninachojua kwa sasa wale wabunge 19 (aka Covid-19) wale mpaka dakika hii ni CCM ila wanaona aibu kusema