chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 211
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?
Naomba kuwasilisha.