CHADEMA na usafiri

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
864
211
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Naomba kuwasilisha.
 
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi! Cha msingi ni uimarishaji wa vifaa vya anga na matengenezo na wala si kusitisha matumizi.
 
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Naomba kuwasilisha.

Mkuu ajari ikiamua kutokea itatokea tu..mbona hata magari yanaua watu kila kukicha?
 
Tahadhari nzuri ukizingatia kuwa Hizo helicopter zinatokea/zinakodishwa toka huko huko Kenya......
 
May be watunguliwe na CCM kisha wasingizie ajari au bahati mbaya hawakujua.
 
mkubwa!kaa ukijua siku ikifika hata kama hautatoka nyumbani utaondoka tu,haitajalisha kuna mema gani umefanya?upo wapi?unatumia chombo gani?.Siku ikifika haina mjadala,labda nikukumbushe,marehemu Chacha Wangwe,Marehemu Kabuye,Marehemu Regia Mtema,marehemu Sokonne...na wengine wengi walikufa wakiwa barabarani na angani,marehemu mwl nyerere alifia ugenini hosp,kifupi hakuna hajuae atakufaje
 
Suala la ajali halichagui helikopta, vx, L/rover, ndege, treni, baiskeli, pikipiki nk, ndio maana tunamtanguliza Mungu kwanza hata tukienda kwa miguu. Fear not God is in control of everything.
 
Mkuu ajari ikiamua kutokea itatokea tu..mbona hata magari yanaua watu kila kukicha?

Mwezi Januari tumempoteza mpambanaji wetu Dada Regia Mtema (Mwenyezi Mungu Ailaze roho yake mahali pema peponi) kwa ajali ya gari, So mkuu kama unaogopa ajali then nakushauri uwashauri hao viongozi kutembea kwa miguu then.
By the way, Usafiri wa Anga ndio unaoaminika kuwa salama kuliko usafiri mwingine wowote.
 
Mkuu kifo hakichagui jinsi ya kuja. Kinakuja kwa jinsi, wakati, na mahali popote japo ni kweli tahadhari pia ni muhimu. La msingi kama walivyosema wadau ni kuimarisha na kuiwezesha Kurugenzi ya Usalama wa Viongozi ili iweze kufanya kazi zake kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.

Pia kwa upande wetu kama wananchi wa kawaida tunaoitakia mema nchi yetu tuna wajibu wa kuwaombea viongozi wetu kila wakati tunapopata nafasi.

Uendapo msikitini kila swala au katika swala binafsi chumbani au popote waombee viongozi, waombee ulinzi wa Allah awapiganie, awe upande wao. Kumbuka Allah ni muweza wa yote.

Uendapo kanisani au katika maombi binafsi popote waombee Viongozi; waombee Bwana Yesu awafunike kwa Damu yake Takatifu; waombee Roha Mtakatifu awatangulie awashike mkono na kuwaongoza katika mapito yao yote. Waombee yule Mkuu Jibril aongoze Jeshi la Wapiganaji katika Ulimwengu wa roho.

Ufanyapo tambiko ki-kwenu, wakumbuke Viongozi. Umwagapo damu ya mnyama (iwe ng'ombe, kondoo, kuku, mbuzi) kumbuka Viongozi. Uwashapo moto kwa ajili ya tambiko kumbuka viongozi, umwagapo maziwa au chochote kwa ajili ya kuomba radhi za wahenga ombea pia radhi viongozi wetu.

Lolote lililo jema ufanyalo katika mtazamo wa kiroho kumbuka viongozi wetu. Kwa njia hii wala hakuna haja na hofu ya helikopta.
 
Hii ni changamoto kwa kila mtu na viongozi wetu, kuwa waadilifu ili Israel akija tuwe safi na ataukubali. Hivo Magamba acheni kuiba mali za nchi yetu kwani siku roho zenu zitatakiwa na Israel mtapelekwa kwenye moto wa jehenamu, mkaungane na yule mkuu wa pepo, kwani mna pepo wa kuiba mali za nchi hii.
 
Hiyo inaitwa collateral damage, aluta continua. There no one that is indespensable, we are all one day going to die. Mbona hujamshauri mjomba.
 
mkubwa!kaa ukijua siku ikifika hata kama hautatoka nyumbani utaondoka tu,haitajalisha kuna mema gani umefanya?upo wapi?unatumia chombo gani?.Siku ikifika haina mjadala,labda nikukumbushe,marehemu Chacha Wangwe,Marehemu Kabuye,Marehemu Regia Mtema,marehemu Sokonne...na wengine wengi walikufa wakiwa barabarani na angani,marehemu mwl nyerere alifia ugenini hosp,kifupi hakuna hajuae atakufaje
Na juzi juzi Selasini alipata ajali familia yake ikateketea na walikuwa hawatumii helcopter
 
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Naomba kuwasilisha.

Kwa kuwa Juzi kuna ajali ya gari aina ya 'Land cruiser' ilitokea Pale Giro, njiani kulelekea Dodoma, na kwa kuwa wabunge wetu na Mwawaziri hutumia Landcruisers keulekea Dodoma kwenye vikao, nashauri waangalie namna ya kubadilisha usfiri
 
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Naomba kuwasilisha.

Ingalikuwa ndivyo basi hata utengenezaji wa vyombo vya usafiri Kama magari/meli/ndege/treni ungekuwa ushasitishwa siku nyingi.Cha msingi ni uboreshwaji wa vyombo ventewe na sio kusitisha utumiaji wa chombo husika.Asante kwa ushauri nnadhani wahusika wamesikia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom