CHADEMA na UKAWA kuweni wazi kuwa mnatetea mafisadi na si mnapigania demokrasia

Atoa upupu wake sis tuko serious tunataka maijibu ya kilaza jeska......kujiunga,na chuokikuu huku amefail.....baba jeska tunaomba majibu jaman...
 
Siku hizi raia tunaona chadema kama CHAMA CHA kivulana vulana tuu hawana jipya Ni fujofujo tuu kama watoto waliobalehe
 
Mimi naona ni mwendelezo wa propaganda,uzi mrefu lakini hauna hoja!sioni mantiki ya heading na content!
Serikali ni ya watanzania,hakuna justification yoyote kwa serikali kutofuata sheria na katiba ya nchi inayotambua demokrasia!Nyerere alisema,kiongozi yeyote anayevunja katiba hatufai hata kama awe mzuri namna gani!Demokrasia sio option kwa Magufuli,ni wajibu wake kuisimamia na kuilinda katiba inayotambua demokrasia!
 
Ila demokrasia ni option kwa chadema sio"
 
Siku hizi raia tunaona chadema kama CHAMA CHA kivulana vulana tuu hawana jipya Ni fujofujo tuu kama watoto waliobalehe
Tehetehetehetehe. Huu ni ukweli ambao unapaswa kusemwa waziwazi
 
Mimi naona ni mwendelezo wa propaganda,uzi mrefu lakini hauna hoja!sioni mantiki ya heading na content!
Serikali ni ya watanzania,hakuna justification yoyote kwa serikali kutofuata sheria na katiba ya nchi inayotambua demokrasia!Nyerere alisema,kiongozi yeyote anayevunja katiba hatufai hata kama awe mzuri namna gani!Demokrasia sio option kwa Magufuli,ni wajibu wake kuisimamia na kuilinda katiba inayotambua demokrasia!
Nikuulize swali? Ni kifungu gani cha katiba ambacho Rais kakivunja?
 
Mkuu lizaboni kama ni ngumi basi hii ya late Mohamed Ally.Hakuna namna hapo lazima watapinga kwa sauti lakini watakubali nafsini mwao
Nimeamua kuwaonesha kuwa kile wanachotaka watendewe basi wanapaswa kutenda kwanza wao. Kama unataka kula basi ukubali na kuliwa
 
Uzi una ujumbe mzuri lkn contrnts yake imekosa kuitendea haki kichwa cha habari kwani haijaonyesha namna wanavyowatetea mafisadi
 
Niko kwenye foleni, nagombania kupata kilo moja ya sukari hapa Arusha,njiro ghorofa mbili, dukani kwa Kiwori.
CC: Ngongo

Mkuu sukari hakuna tangu jana siku hizi nyumbani tumegeukia asali hakuna namna ni lazima watu wateseke hadi kieleweke.
 
Mie kila siku nasema upinzani hakuna bongo bali ni watu na matumbo yao tu kutetea ulaji wao na familia zao.. Wapinzani wa kweli akina dr. Slaa walishajitoa kitambo! Nasubiri kuna siku hawa Chadema watapopolewa mawe na wananchi maana ulaghai wao umepitiliza na wananchi wameshawafahamu ndani nje.. Time will tell.
 
Lizaboni chuki zako binafsi na UKAWA zitakufanya upate presha bure wewe endelea kazi kuosha viatu upate pesa ya kujikimu huku unazidi kujithalilisha .Kila thread Chadema wanakunyima usingizi sana?
 
Ningesahisha hii thread ningempa marks 2 za kuandika maneno kwa ufasaha na kuipanga vizuri... Ila kuhusu hoja ni sifuri
 
Inasikitisha chama tulichokiamini km CDM kuamua kuwapigania wezi wa ardhi ama kweli CDM imekwisha. Wanatabia ya kujilimbikizia Mali kupitia nafasi zao. Tunaomba viongozi wote wastaafu wanyanganywe mali walizopata wakiwa madarakani. Lkn waachiwe walizopata pasi kutumia mmlaka zao. mfano hivi ni mkuu gani wa mkoa anaweza kukataa kutoa ardhi kwa wakuu wa nchi? Marofa watulie serikali ifanya kazi yake.
 
downloadfile-13.jpeg

swissme
 
Back
Top Bottom