Chadema na uchaga

Status
Not open for further replies.
Hoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k ambako kuna mchanganyiko wa makabila. It is too late now for sisiemu kusema CHADEMA ni chama cha wachaga!! Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena na sisiemu. Watu ambao bado wanaisupport sisiemu kwa sasa ni wale walio kwenye system pamoja na familia zao, mafisadi na watanzania waishio vijijini na wasio na uelewa wa mambo. Shame upon sisiemu!!!
Nakupongeza sana mkuu kwa kuliona hilo!!!! Una mtazamo wa kimapinduzi kabisa. Wengi wanaoisapoti sisiem ni wale wenye maslahi nayo, wale wajinga wasioelewa chochote na wafanyabiashara wanahofia chama kingine kikiingia madarakani kitafichua mbinu zao za kukwepa kodi
 
Ndiyo mawazo yako finyu. Mbona M/Kiti alipokuwa Bob Makani hamkusema chochote!!! Acheni propaganda zisizo na msingi. Watanzania wa leo hawadanganyiki na watu kama ninyi ndiyo maana wameiunga mkono cdm. Isingekuwa uchakachuaji wenu, mwaka huu mngelia.
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

coca cola huna tofauti na Muhammed Saeed al-Saaf (MSS) former Iraqi information minister, It's well known that when speaks, people listen but no one wonders where the hell his words comes from...... pia huna tofauti na Chilli .... gati.....

i know you are after xenophobic acts..... for the sake of what i call cowardliness and infidelity
 
Tupe kwanza elimu yako.Kwani wachaga hawatakiwi kua viongozi?Mbona vyama vingine vina mizengwe mitupu au vinaweka makanal na kepteni wa Jeshi hamsemi?Wachaga wako juu sana,nawasifia sana hawa ndugu zangu
 
Mifano halisi iko mbele yako kila siku; wewe pita kwenye duka lolote la mchaga ambalo liko karibu halafu taja mtu yoyote aliyeonekana kutaka nafasi ambayo mbowe kashika au mbowe anaitaka alafu utasikia maoni yake. Maoni yake hayatasema hiyo ni demokrasia; maoni yake yatakuwa huyo mtu anayetaka nafasi hiyo anayoitaka mbowe lazima ana kasoro. Au mtaje mtu yoyote mwenye mtazamo tofauti na mbowe ndani ya chadema; utaambiwa huyo mtu anakasoro.
Weee.... nyuula!! unafanya mcheso eeh? unataka mtu achomwe kisu cha....:teeth:

Laiti kama NBC ingelikuwa....
naogopa sana kuendelea hapo....
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Mkuu, funguka kimawazo na mtazamo, kwani Nyerere alipokuwa mwenyekiti wa CCM, chama kilikuwa cha wazanaki, au sasa chama ni cha wakwere.,haihitaji PhD ili kuwa na mtazamo chanya, chama hakiwezi kuongozwa na makabila kumi, ni lazima mwenyekiti atatoka kabila mojawapo tu!
 
Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.

elewa mada wewe kichwa maji, umerogwaaaaaaaaaaaaa????? ushabiki gani ata ukiambiwa ukweli....
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Aaaah! ndo chadema hiyo
 
CUF ilidaiwa ni ya Waislam ilipokuwa ni threat to sisim.Walipoi-hasi sasa wamehamia kwenye threat ya cdm na kuzusha hoja ya uchaga na ukatoliki.
Kwa ufupi haya yana mwisho ambao hauko mbali sana.Wajiandae
 
Aliyeandaa hii hoja anaonyesha hana elimu, kama Dr.Slaa mchaga, au Mtei labda tungeweza kumuelewa, acha ulimbukeni nenda shule
 
Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.
Lakini walionyanyasika kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba na Shibuda, Mkosamali, Shitalamba Kafulila, Machege nk. hawakuwa wachagaa kuna nini hapo?
 
Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.
Lakini walionyanyasika kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba na Shibuda, Mkosamali, Shitalamba Kafulila, Machege nk. Hawakuwa wachagga kuna nini hapo?

Ona mabadiliko ya katiba ya Chadema kuendana na uchagga:
- Mtei M/kiti (mchagga)- hakuna ukomo wa muda
- Makani M/kiti (msukuma) muda ni vipindi viwili
- Mbowe M/kiti (mchagga) hakuna ukomo wa muda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom