Chadema na uchaga

Status
Not open for further replies.
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

CCM bana!! hamli wala hamlali shauri ya CDM?

yani ishu imekua cdm kila siku hebu angalieni mambo yenye tija kwa jamii
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Kuna usemi usemao: "Ukisikia mtu anamsema mwingine kuwa ana kiburi basi ujue ni viburi viwili vimekutana". Usemi huu ni sahihi kabisa hata katika suala la ukabila ... ukisikia mtu anamsema mwingine kuwa ni mkabila basi ujue ni wakabila wawili wamekutana. Sioni kwa nini hoja ya ukabila inakuzwa sana kwa Chadema na si kwenye vyama vingine. Kwani Bob Makani alipokuwa Mkiti naye alikuwa mchaga? Tafsiri ya ukabila kwangu ni ubaguzi - unaweza kuwa wa kidini, jinsi, sehemu, uzaliwa, nk. Hivi CCM wanaporithisha watoto wa madaraka sio ukabila? Mimi naomba tuangalie mchakato wa kuupata uongozi kuliko kuona nani anakalia kiti kwa wakati huo. Kila chama kina historia yake. Vingine huanza kama harakati za wanafamilia, na vingine huanza kama vyama vya ukanda fulani, nk. Ni kweli mwanzilishi wa CDM ni mchaga lakini kimekuwa na kupokea wengi wakiwemo kina Zito.
Namsihi Cocacola na waJF wengine wanopenda kuona kwa jicho la ukabila wakue, wapanuke na zaidi waache kuwa wakabila.
 
Hata ukienda USA kuna sehemu ambazo ni DEMO au REP siku zote na UK kuna sehemu za LAB au CON kuna tatizo gani kwa tz kuwa na uchagani kama strong hold ya CDM na Dodoma kama stronghold ya ccm
 
Cocacola inaonekana hutaka kutoaka out of box uliloundia perception yako wewe unahitaji deliverance. Hivi Mbowe atakapokabidhi uenyekiti kwa mtu kabila nyingine au Myika utakuwa na hoja gani? Chama kama UDP cha cheo hivi nacho kiitwe cha kikabila au. Ukweli ni kwamba hata TANU iliundwa na watu wa pwani zaidi kuliko wa bara je kama watanganyika wangekuwa na hoja ya kibaguzi kama yako uhuru ungepatikana kweli. Tukitaka kila kabila liwe mwenyekiti wa chama ndo demokrasia . Basi hata rais wa Tanzania angechaguliwa kwa misingi hiyo hiyo. Kinachoongoza CHADEMA siyo ukabila kwani ukichunguza wachaga walioko ni vigumu kuongea lugha moja mf. mbowe ni mmachame, Ndesamburo ni wa old Moshi, Mtei ni wa Marangu. Kwa kawaida wachagga wana treat segment zao kama kabila tofauti kwani MMachame hawezi ongea kilugha na mtu wa old moshi wala wa marangu kwa hiyo hata wakikaa ofisi moja wanaji treat tofauti.
 
Hoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k ambako kuna mchanganyiko wa makabila. It is too late now for sisiemu kusema CHADEMA ni chama cha wachaga!! Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena na sisiemu. ahsante sana tibetram, kikwete na wenzake hawana tena hoja, walipoona chadema ni chama cha kitaifa sasa wamekuja na hoja ya udini
 
Coca cola, you have the plastic mind.
Wachagga wanafaa kuigwa, wamefanya mengi.
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Acha u***ge wewe.
 
Huyu ni mamluki wa chama twawala. Jadili hoja uachane na hii issue. Kakuambia nani kuwa Tz kuna ukabila! Kwanza we kaka kola ni kabila gani?
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Pole kwa akili mgando. Mpaka leo bado uko huko ktk mawazo ya kijima? Kwa taarifa yako CHDEMA ni ya watz wote, kabila zote, dini zote na rika zote.
 
Hii inanikumbusha mambo ya ajabu niliyo wahi kusimuliwa kuhusu chuki zilizo jengeka miongoni mwetu kuhusu baadhi ya makabila.Kuna kampuni ya Kigeni ilikuwa inataka kuajili Engineer wa fani ya mawasiliano jukumu hilo kapewa Human resource Manager kumtafuta bila kutangaza kwenye magazet
I jamaa kaeleza marafiki zake wamsaidie kutafuta mtu kwa mashariti kwamba hasiwe mzaliwa wa Kagera au Kilimanjaro
!Mtu huwezi kuamini lakini wapo watu wa namna hiyo Chukulia mfano mwingine mtu ukiwa Mchaga au Mhaya hata kama wanajua jina lako hawalisemi utasikia "unamsema yule Mchaga/Mhaya"
.Mtoa mada anatumia mbinu hizo hizo kimaksudi katika kujenga hoja kwamba eti Chadema ni chama cha Wachaga. Tanzania ya leo si rahisi kurubuni watu na mambo ya "kufikilika"
 
Mifano halisi iko mbele yako kila siku; wewe pita kwenye duka lolote la mchaga ambalo liko karibu halafu taja mtu yoyote aliyeonekana kutaka nafasi ambayo mbowe kashika au mbowe anaitaka alafu utasikia maoni yake. Maoni yake hayatasema hiyo ni demokrasia; maoni yake yatakuwa huyo mtu anayetaka nafasi hiyo anayoitaka mbowe lazima ana kasoro. Au mtaje mtu yoyote mwenye mtazamo tofauti na mbowe ndani ya chadema; utaambiwa huyo mtu anakasoro.

kwani hao chadema wanachaguana kila mwezi au kila mwaka mbona munaonyesha kwamba kila mtu sasa anataka kuwa msemaji wa chaguzi za viongozi wa chadema au ndio ummarufu wa chama chenyewe
 
Of all the problems happening you have just happened to See Ukabila..... Kweli we all see what we want to see........ Look yourself in the mirror.... you are your own worse enemy..... you dont see the capability of people but their tribal backgrounds...... so they should just mix people because they need a mixture of tribes? look at the party history maybe you might find the answear... as time goes on and the party is appreciated more on other parts then the mixture will be more.....

how come you dont comment on CUF having more people from Zanzibar? since that is your expertise...

You have said it all..no less, no more.
It goes with your user name "VoiceOfReason".
 
Mbona NCCR , TLP zinaongozwa na wachagga kuna ukabila pale! Baseless arguments. Ieleweke kwamba wachagga mara zote wamekuwa mstari wa mbele kutaka mabadiliko kwa sababu za kihistoria na asili yao. Kwa kiasi kikubwa shule nyingi ziko Kilimanjaro wewe unadhani ni serikali ndiyo iliyojenga? Bottomline ajenda za ukabila nadhani hazina mantiki yoyote JF sote sisi ni watanzania tuachane na hizi propaganda ambazo zitatupeleka mahali ambako sio kuzuri.
 
mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.

no body is perfect in this hell
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Taarifa za kuaminika, Pamoja na CDM kuwa na mkakati wa huhakikisha Tanzania inakuwa na katiba mpya kabla ya 2015, Pia wachaga waliopo CDM, Wameweka mikakati ya kuwa na mahusiano ya mapenzi na wadada wote wa makabila, ili baada ya miaka 15 wawe wamejijengea nguvu kubwa kiufuasi, " Ndugu coca, kama una dada utapata mashemegi na wajomba wa kichaga" mwisho utawapenda tu
 
ukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.

Huko ni kujifariji kwa CCM. Ukweli CHADEMA tunaipenda sana na CCM tukiisikia inanuka mavi. Sisi sio wachaga au wanaCCM tulio korofishana ila watanzania tuliochoshwa na harufu mbaya kwenye CHOO kinachoitwa CCM. Hata hapa Geita wametumia zaidi ya MIl 100 CCM kuiba kura lakini chama chetu ni CHADEMA si thithiem.
 
chaga development manifesto(chadema) source ya chadema akili kumkichwa

mwenzangu njaa mbaya.woote ni tumbo tu ndilo linahangaisha
si chadema - chaga development manifesto, wala
si ccm - christian church movement woote ni njaa tupu
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Arguments zako ziko very weak Coca Cola, ina maana CCM walivyokuwa wanapinga mtu asimchallenge Kikwete ina maana wote ni wakwere? au Lipumba anapogombea kila uchaguzi, CUF ni ya wanyamwezi? Haijalishi nani anaongoza, tunajali results, kwa mfano;kama Mchaga atatuletea Katiba mpya watakaofaidika ni watanzania wote, regardless of their ethinicity.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom