CHADEMA na maigizo, ujanja wa viongozi kula ruzuku

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,180
16,182
Helkopta, magari jumlisha matamasha yaliyopewa majina kibao. Hiyo mwisho wa siku ni janja ya viongozi kuwafunika wanachama wao katika mfereji wa kutafuna pesa za chama.

Wanatafuta pa kujifichia pindi CAG atakapo wapatia hati ya mahesabu ni wakati wa wanachadema kutafuta viongozi wapya wataokuwa na uwezo na mikakati ya kupambana na CCM. Sio kuiondoa maana uwezo mikakati na maono pia hawana.

Ccm ni jitu CCM ni dude CCM ni mlima Ccm ni bahari CCM ni ulimwengu hayo matamasha yasiyo tofauti na ya wasafi au ali kiba tofauti yake ni kusema sana mziki kidogo ila mbwembwe ndio zile zile tu kuingia na helkopta au vijiko.

Nawapa ushauri baada ya hizo operesheni daini risiti muoneshwe matumizi ndio mtajua hamna viongozi zaidi ya wachumia tumbo na hawapo kwa ajili ya chama ila kujikimu kwa pesa za chama.

Ukitaka kujua hawajui walifanyalo mpaka leo hii wanapambana na nyerere,wanapambana na Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia badala ya kuelezea mfumo wanashambulia mpaka marehemu wasioweza kujibu kitu. Chadema shtukeni mnaliwa michango inakwenda wapi?

CCM DAIMA MILELE HAKUNA WA KUING'OA!
Safarini Algeria!

images.jpg
 
Helkopta,magari jumlisha matamasha yaliyopewa majina kibao .
Hiyo mwisho wa siku ni janja ya viongozi kuwafunika wanachama wao katika mfereji wa kutafuna pesa za chama,

Wanatafuta pa kujifichia pindi CAG atakapo wapatia hati ya mahesabu,
ni wakati wa wanachadema kutafuta viongozi wapya wataokuwa na uwezo na mikakati ya kupambana na ccm.

Sio kuiondoa maana uwezo mikakati na maono pia hawana

Ccm ni jitu Ccm ni dude Ccm ni mlima Ccm ni bahari Ccm ni ulimwengu hayo matamasha yasiyo tofauti na ya wasafi au ali kiba tofauti yake ni kusema sana mziki kidogo ila mbwembwe ndio zile zile tu kuingia na helkopta au vijiko .
Nawapa ushauri baada ya hizo operesheni daini risiti muonyeshwe matumizi ndio mtajua hamna viongozi zaidi ya wachumia tumbo na hawapo kwa ajili ya chama ila kujikimu kwa pesa za chama ,
Ukitaka kujua hawajui walifanyalo mpaka leo hii wanapambana na nyerere,wanapambana na Mwinyi,Mkapa,kikwete,Magufuli na Samia badala ya kuelezea mfumo wanashambulia mpaka marehemu wasio weza kujibu kitu.Chadema shtukeni mnaliwa michango inakwenda wapi?.

CCM DAIMA MILELE HAKUNA WA KUING'OA!
Safarini Algeria!View attachment 2741715
Vijana wa uvccm kama wewe ni hasara kwa taifa.
1021293960.jpg
 
Vijana wa namna yako wana mchango mdogo sana kwenye Taifa - Jiwe Pombe Magufuli
 
makuwadi ya warabu koko dpworld mwambieni mamayenu kuwa 2025 ajiandae kukimbilia kwa mabwana zake dubai na nyinyi nguruwe koko mjiandae kulimia meno au kukimbilia burundi.
 
Helkopta,magari jumlisha matamasha yaliyopewa majina kibao .
Hiyo mwisho wa siku ni janja ya viongozi kuwafunika wanachama wao katika mfereji wa kutafuna pesa za chama,

Wanatafuta pa kujifichia pindi CAG atakapo wapatia hati ya mahesabu,
ni wakati wa wanachadema kutafuta viongozi wapya wataokuwa na uwezo na mikakati ya kupambana na ccm.

Sio kuiondoa maana uwezo mikakati na maono pia hawana

Ccm ni jitu Ccm ni dude Ccm ni mlima Ccm ni bahari Ccm ni ulimwengu hayo matamasha yasiyo tofauti na ya wasafi au ali kiba tofauti yake ni kusema sana mziki kidogo ila mbwembwe ndio zile zile tu kuingia na helkopta au vijiko .
Nawapa ushauri baada ya hizo operesheni daini risiti muonyeshwe matumizi ndio mtajua hamna viongozi zaidi ya wachumia tumbo na hawapo kwa ajili ya chama ila kujikimu kwa pesa za chama ,
Ukitaka kujua hawajui walifanyalo mpaka leo hii wanapambana na nyerere,wanapambana na Mwinyi,Mkapa,kikwete,Magufuli na Samia badala ya kuelezea mfumo wanashambulia mpaka marehemu wasio weza kujibu kitu.Chadema shtukeni mnaliwa michango inakwenda wapi?.

CCM DAIMA MILELE HAKUNA WA KUING'OA!
Safarini Algeria!View attachment 2741715
Kwani CHADEMA wanapewa ruzuku kwa ajili ya kufanyia kazi gani?.
 
Helkopta, magari jumlisha matamasha yaliyopewa majina kibao. Hiyo mwisho wa siku ni janja ya viongozi kuwafunika wanachama wao katika mfereji wa kutafuna pesa za chama.

Wanatafuta pa kujifichia pindi CAG atakapo wapatia hati ya mahesabu ni wakati wa wanachadema kutafuta viongozi wapya wataokuwa na uwezo na mikakati ya kupambana na CCM. Sio kuiondoa maana uwezo mikakati na maono pia hawana.

Ccm ni jitu CCM ni dude CCM ni mlima Ccm ni bahari CCM ni ulimwengu hayo matamasha yasiyo tofauti na ya wasafi au ali kiba tofauti yake ni kusema sana mziki kidogo ila mbwembwe ndio zile zile tu kuingia na helkopta au vijiko.

Nawapa ushauri baada ya hizo operesheni daini risiti muoneshwe matumizi ndio mtajua hamna viongozi zaidi ya wachumia tumbo na hawapo kwa ajili ya chama ila kujikimu kwa pesa za chama.

Ukitaka kujua hawajui walifanyalo mpaka leo hii wanapambana na nyerere,wanapambana na Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia badala ya kuelezea mfumo wanashambulia mpaka marehemu wasioweza kujibu kitu. Chadema shtukeni mnaliwa michango inakwenda wapi?

CCM DAIMA MILELE HAKUNA WA KUING'OA!
Safarini Algeria!

View attachment 2741715
Pole san mlinda legacy ulietukuka, kijana wa shujaa, mzee wa 1.5trln. Ungetoa na ushauri kwamba wafanye nn au watumie nn kwenda kila kona ya Nchi kwaajil ya mikutano yao!! Toa solutions....
 
Back
Top Bottom