CHADEMA mmelewa kahawa na kashata za Ikulu mpaka wimbo wenu wa Katiba Mpya mmeacha kuuimba

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na kahawa ikulu.

Mna unafiki mwingi sana na soon huu unafiki wenu unaenda kuwapiga chini tena 2025 na mnazidi kumpa mwanya wa kuongoza nchi kwa mara ya pili Rais Samia. Mtake msitake Samia Suluhu anachukua nchi kwa mara ya pili.

Mna watu wa hovyo sana kiukweli baada ya kuondoka sijaona mtu ambaye ataweza kuingoza CHADEMA, kuondoka kwa Mbowe ndiyo mwisho wa CHADEMA! Mlisema uchaguzi wa mwaka 2020 ni batili ila bado mliendelea kumtambua Magufuli ni Rais na mnaendelea kumtambua Samia ni Rais!

Kahawa na kashata zimewalewesha mpaka sasa wimbo wenu mmeacha kuimba shem on you!
 
Ulivyo na akili kisoda, unadhan katiba ni kwa ajili ya chadema
 
Naona chadema wanakunyima usingizi na safari hii hutalala kabisa kama Mungu wenu Magufuli kafa kaiacha chadema wewe nani kwa chadema
 
Mtoa mada inaonekana ni zuzu na uoga umekutawala,katiba sio ya chadema!,wewe ukiona unahitaji katiba pigania sio kusubiri watu wakupiganie na ukiona katiba hii inakufaa Kaa kimya
 
Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na kahawa ikulu.

Mna unafiki mwingi sana na soon huu unafiki wenu unaenda kuwapiga chini tena 2025 na mnazidi kumpa mwanya wa kuongoza nchi kwa mara ya pili Rais Samia. Mtake msitake Samia Suluhu anachukua nchi kwa mara ya pili.

Mna watu wa hovyo sana kiukweli baada ya kuondoka sijaona mtu ambaye ataweza kuingoza CHADEMA, kuondoka kwa Mbowe ndiyo mwisho wa CHADEMA! Mlisema uchaguzi wa mwaka 2020 ni batili ila bado mliendelea kumtambua Magufuli ni Rais na mnaendelea kumtambua Samia ni Rais!

Kahawa na kashata zimewalewesha mpaka sasa wimbo wenu mmeacha kuimba shem on you!
Vp ccm mmejiandaa kuiba tena 2025?
 
Back
Top Bottom