Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
jema lipi? hayo unayosema mema siyanayokuhusu wewe tu? walala hoi hayatuhusu na hata yaliyofanyika hayalingani na uwezo na neema ambayo Mungu ametjalia, nenda kalale wewe, ukute ni ridhiwani wewe
matusi ni uwendawazimu hoja ni brand name ya JF.
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
umenena vema, kama ndo hivyo hii nji c ya magamba tu, basi kwa sasa tuwape magwandaNachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
hakuna kitu kama hicho serikari ya JK imezidi kula fedha za walipa kodi.Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
Kwahiyo ujumbe wako ni kuwa watu wakiiba tuwaachie tuu! Kazi kwelikweli lakini ni mawazo yako nayaheshimu