Chadema mla nae huliwa

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
 
Wacha uoga, hii ni nchi ya demokrasia, unavyosema eti na CDM watafanyiwa hivi wakishika dola unadhihirisha the way you think small and you will remain small.
Otherwise umejivua ufahamu coz kazi ya kumtetea shetani ni kazi ngumu, pole kwa hi shuhuli ngumu mkuu.
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

Asante kwa kutambua kuwa Chadema wataingia madarakani si muda mrefu
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

hata hao chadema wakishika dola wakawa wezi tutawahukumu pia, usilete habari za misemo ya kiswahili hapa.
 
Mbona povu linawatoka sana sehemu chadema ipewapo tahadhari? Je nyie ni ma agent wao?naanza kupata jf ni ya chadema,twendeni kwa hoja km gt
 
nashukuru kwa kutambua kwamba chadema itaingia madarakani soon. tukiingia madarakani tutahakikisha tunamtendea mwananchi mema yaani uhuru na haki vitazingatiwa.
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
kakojoe ulale
 
Yaani hii ni akili ndogo ya ccm ya kuwa kula ni kwa zamu,
mkuu sisi tupo kwa ajili ya taifa hili, tujitengenezee maisha bora kwa kila mtu,
haijalishi atakaehalibu ni nani adhabu apewe tuu hata hivyo kwa taalifa yako hata CDM
si mama yetu bwana, afanyae vizuri tutakuwa naye tuu hata kama ingekuwa ni ccm!
ACHA AKILI ZA KIMAGAMBA HIZO MKUU!
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'
Gasper Lasway mkuu!
Wewe na wenye mawazo kama yako ndio waliotufikisha hapa tulipo 'maskini wa kutupwa katikati ya matajiri wezi wa utajiri wetu.
Usiilaumu CDM umemsikia Deo wa CCM na wengine?
Ndugu yangu acha woga! nitakupa mfano mmoja ya watu walionyanyaswa kwa kuibiwa muda mrefu! Wasukuma wa shinyanga kipindi cha "msimu" wa pamba walikuwa wanaenda gulioni kuuza pamba wanaambiwa hakuna fedha wakati huo pamba inachukuliwa na wanapewa risiti iliyo na muhuri "paid" kwa vile hawakujua kusoma waliondoka waliporudi baada ya miezi 2/3 kutaka walipwe haki yao walifukuzwa kama vibaka hawa wakulima!

Chama cha Shirecu wakati huo kilikuwa kimejaa wezi na mwenyekiti wa wakati huo Ngwani alikuwa na nguvu za ajabu.
Wataalamu waliliona hili wakataka wamng'oe Ngwani lakini wawakilishi wa vyama vya msingi walihongwa pesa na pombe wakamuaibisha registrar na kumwambia Huyo huyo tu!! wengine nao wataiba!!!

Ndugu yangu zama za UJIMA zimepita!! wezi wawajibishwe!
Hata kama wewe ni PINDA ujumbe chukua!!
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnahatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

Fafanua hayo maneno!

Usalama ulishatoweka siku nyingi sana, kina Zitto, Deo, Freeman, Mnyika na wengine ndio wanapigania kurejesha usalama wa nchi.
 
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au mnaona mabaya tu?kwanza mnhatarisha usalama wa nchi,pili mkumbuke mkiingia madarakani nanyi mtafanywa haya mnayofanya sasa kumbukeni 'no one is perfect'

Tuangalie kwanza hapo kwenye red. Serikali yoyote duniani iliyoko madarakani, ipo hapo ili ifanya MEMA. Vinginevyo haifai kuwepo madarakani.
Ukiangalia hapo kwenye blue, hiyo ndio kazi ya upinzani popote pale duniani. Kuangalia mabaya ya serikali na chama tawala ili kuikosoa. Kwa kufanya hivyo, serikali itakuwa makini katika ufanyaji kazi wake wote.
 
Kajitathmini upya

Back
Top Bottom