CHADEMA: Mchakato wa kuwania Ubunge Arumeru Mashariki umeanza rasmi

Sawa sawa kamanda. Sasa tunaelekea Arumeru Mashariki. Utartibu ndiyo huo, wenye sifa zinazofaa kutumika kwa maendeleo ya watu, kupitia chama mbadala, chama makini, CHADEMA, wajipime kisha waingine ulingoni.

Sawa sawa kamanda. Sasa tunaelekea Arumeru Mashariki. Utartibu ndiyo huo, wenye sifa zinazofaa kutumika kwa maendeleo ya watu, kupitia chama mbadala, chama makini, CHADEMA, wajipime kisha waingine ulingoni.

Hii ni ID moja nini?

Aisee hawa watu wanafikra zinazofanana kiasi hiki, neno kwa neno!!:lol::poa

Mwita katika hili kuna walakini kidogo. All in all nategemea kupiga kambi Arusha ili nione nini kitajiri katika mchakato huu wa jimbo hilo nadhani kutakuwa na kitu cha kuandika.
 
Hii ni ID moja nini?



Mwita katika hili kuna walakini kidogo. All in all nategemea kupiga kambi Arusha ili nione nini kitajiri katika mchakato huu wa jimbo hilo nadhani kutakuwa na kitu cha kuandika.

Ama kwa hakika wapenda mageuzi wote kadri ya nafasi zetu tunawajibika kutoa mchango wetu katika kufanikisha ushindi wa upinzani jimboni arumeru mashariki, nikutakie kila la kheri katika nia yako hiyo, panapo majaliwa hata mimi nitafika japo kwa muda mfupi kuongeza chachu ya mapambano.
 
No doubt cdm watachukua hilo jimbo manake maisha yalivyowashika pabaya wananchi sidhani kama watakubali kuongeza mtu bungeni wa KUTETEA posho badala ya kutetea maslahi ya TAIFA!!!
 
Mheshimiwa Mnyika, ushindi wa chaguzi yoyote ni resources hasa fedha na vifaa. Jamaa wa CCM tunajua watachota kutoka kwenye kodi zetu. Je mmejipanga vipi kuchangisha fedha za uchaguzi wa AM? Mbona hatuoni akaunti namba au Mpesa, Tgpesa au Airtelmoney numbers ili tuanze kuujaza mfuko kidogo kidogo. Hii itakuwa nafasi nzuri sana kuIntroduce uwazi katika kuchangia kampeni za chama. Tuwekeeni namba tuchangie na muwe mnatangazia umma kiasi gani kimepatikana na kiasi gani kinahitajika kama wanavyofanya wagombea wa nchi zilizoendelea. Chama makini huja na mipango makini always... Mnyika umemfunika sana Afisa habari wa upande wa pili, hamko mizani moja.
 
Kama Chadema watajipanga vizuri zaidi kuanzia uongozi wa jimbo, mkoa hadi taifa, basi hakuna wasiwasi wa kulinyakua jimbo hilo.

This time around around, sidhani kama kutakuwa na excuses!!

Kama Igunga sio...hakuna njia ya mkato ya kulinyakua jimbo hilo bila kumsimamisha Dr.Slaa,otherwise baada ya uchaguzi mtakuja na "mabegi" ya sababu hapa kuelezea kwanini mlishindwa ikiwemo ile sababu yenu maaraufu nyonge ya kuibiwa kura,sisi tupo hapa mtatukuta tunawasubiri kuwaeleza ukweli juu ya ukaidi wenu wa kutomsimamisha slaa..
 
sawa ila umakini unatakiwa sana kwenye uteuzi wa wagombea msije kupata mamluki
Tume ya uchaguzi ilishasema Hakuna kuboresha daftari, watakaoruhusiwa kupiga kura ni walewale walojiandikisha uchaguzi ulopita wa 2010 kaka. Dongo hilo kaka vigumu Chadema kushinda hapo.
 
Shukrani kamanda, lets march forward, cha muhimu mgombea atakayekubalika ndo apitishwe usifanyike uchakachuaji kama wa chama cha magamba, kampeni zifanyike kiistaarabu na uhamasishaji kwa sana ili 2chukue jimbo, siku ya kura ikifika ulinzi muhimu, vibaraka wa magamba waangaliwe sana yasijetokea ya Igunga baada ya kuona maji ya shingo wakamuua kum2mia DC kuchonganisha makamanda na wananchi, Aluta Continua.
 
big up kaka!umakini wa hali ya juu sana unahitajika ktk kumpitisha mgombea ili kuepuka makundi,pia mshauri dr silaa agombee kwa hakika ataifanya chadema izidi kuwa hot akilini na midomoni mwa watz bila kujali atashinda or laa tena akishindwa ndio umaarufu wa chadema utazidi kwani watanzania tayari wanamfahamu vizuri dr slaa kuliko wagombea wapya,ni ushauri tu kaka kwa nia njema ya kuifanya chadema izidi kupaa kileleni.all th best CDm
 
Back
Top Bottom