Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,543
- 14,479
kazi ya nani? chama?
labda ya CCM
kazi ya nani? chama?
kutokuona utofauti kwako ni ujinga ulonao kitaaluma,hv ulishawahi kuona kiongozi asiyewasaidia wananchi wake hapa duniani?hata baba wa taifa kuna wakati alihmiza na wakati aliwaletea wananchi vifaa vya kazi,sasa ww ucchoelewa nn!
Hongera wana Iringa kwa kupata mbunge makini
Nilifikiri unaakili ulivyoanza kuongele ishu ya parking ndo nikagundua matatizo ya IQ
We nenda kalale una hoja dhaifu kesho ukiamka uje na hoja nzito za mbunge gani wa ccm kafanya mambo mazito kuliko msigwa toka miaka 50 ya uhuru.Tatizo ni nini hapo?? Yeye kama diwani/mjumbe wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa suala la mipango mijihalimuhusu?? Je haingii katika vikao ambavyo vinajadili hata mambo ya uegeshaji hovyo wa magari?? Ushauri kuiga Manispaa ya Ilala kuiongezea Halmashauri mapato iweze kununua vitanda badala ya kusubiri hisanizenye malengo ya kisiasa ndio unaouita "tatizo la IQ" au kuwa barabara za katikati ya mji zina mashimona zile zinazoelekea chuo kikuu Tumaini zimejaa mahandaki kama uwanja wa vita ni uongo au hazimuhusuGreat Thinkers hawapaswi kusifia tuuuu kama mazuzu...LAZIMA TUWE NA TAFAKURI YA KINA ILI KUWAFANYA WANASIASA WETU WASIBWETEKE NA KUFIKIRI SISI NI WAJINGA SANA... LAZIMA WAWAJIBIKE ZAIDIpOLE NDUGU YANGU UNAYEPENDA KUSIFIA BILA KUFIKIRI...tuwakosoe CCM sawasawa na CDM and vise-versa.