CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

kutokuona utofauti kwako ni ujinga ulonao kitaaluma,hv ulishawahi kuona kiongozi asiyewasaidia wananchi wake hapa duniani?hata baba wa taifa kuna wakati alihmiza na wakati aliwaletea wananchi vifaa vya kazi,sasa ww ucchoelewa nn!

Ni vyema watu wakajua kazi ya Mbunge Diwani na hata Rais. Mbunge sio mfadhili ila kama anaweza kusaidia kupatika kwa wafadhili. Wakati mwingine mbuge huacha kazi zake za msingi na kwa kuwa wananch hawajui kazi zake wataendelea kumpamba tu
 
Nikiona kilichofanywa na Msigwa nakumbuka Mbunge wetu alikaa jimboni Bahi hadi akaona aibu hakuna alichofanya japo alikuwa Waziri. Kazi ilikuwa kugawa kanga na Mipira vijijini shit .........kwanini Viongozi wetu wasiwe wanawaza kama haya ya Msigwa? Big up achana na hao wabunge wa kununulia watu kangara, Bia,Komoni,Choya, wanzuki,Dadi,Ngedure.........
 
Hawa jamaa kweli ni waalimu. Ndugu zangu wanaccm wanakazi ya ziada kuyakomboa majimbo wanayoyalilia kwa udi na uvumba. Hongera Mch. Msigwa kwa weledi wako na jitihada zaka kwa maendeleo ya walikuchagua na tz kwa ujumla
 
Milioni 50 gawanya vitanda 30 sawasawa na 1,666,666/65.
Duh vitanda hivyo ni ghali sana, wana Iringa vitunzeni na hayo ndiyo matunda ya Las Vegas.
Nakufagilia Rev.
 
Kumbe ukiwa unatoa misaada ndo kuwa mbunge makini!!

Hiyo ni moja tu ya kazi ya kinafsi ya mbunge,
Wahenga walisema UKILA NA KIPOFU USIMGUSE MKONO.
Hivyo posho yake ala na wana iringa, kuna ubaya ?
 
hakika sijajuta kukupa kura yangu Mh. Msigwa. tupo pa1 ktk maendeleo:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::A S 465::A S 465:
 
Hongera sana mchungaji Msigwa,kazi uliyoifanya toka uchaguliwe haijawahi kufanywa na mbunge wowote wa CCM jimbo la Iringa mjini toka tupate uhuru.
 
Mh.Msigwa HONGERA SANA na endeles kuchapa kazi hii ni hazina hapa duniani na hata kwa MUNGU.
 
Nilifikiri unaakili ulivyoanza kuongele ishu ya parking ndo nikagundua matatizo ya IQ

Tatizo ni nini hapo?? Yeye kama diwani/mjumbe wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa suala la mipango miji
halimuhusu?? Je haingii katika vikao ambavyo vinajadili hata mambo ya uegeshaji hovyo wa magari?? Ushauri
kuiga Manispaa ya Ilala kuiongezea Halmashauri mapato iweze kununua vitanda badala ya kusubiri hisani
zenye malengo ya kisiasa ndio unaouita "tatizo la IQ" au kuwa barabara za katikati ya mji zina mashimo
na zile zinazoelekea chuo kikuu Tumaini zimejaa mahandaki kama uwanja wa vita ni uongo au hazimuhusu
Great Thinkers hawapaswi kusifia tuuuu kama mazuzu...LAZIMA TUWE NA TAFAKURI YA KINA ILI KUWAFANYA WANASIASA WETU WASIBWETEKE NA KUFIKIRI SISI NI WAJINGA SANA... LAZIMA WAWAJIBIKE ZAIDI
pOLE NDUGU YANGU UNAYEPENDA KUSIFIA BILA KUFIKIRI...tuwakosoe CCM sawasawa na CDM and vise-versa.
 
Kunabig up kuna waziri huko singida alijidai anasomesha watoto kumbe anazuga yeye na familia yake wananeemeka kwa kupokea misaada ya ada toka usa magamba maendeleo ni kama ukoma
 
Tatizo ni nini hapo?? Yeye kama diwani/mjumbe wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa suala la mipango mijihalimuhusu?? Je haingii katika vikao ambavyo vinajadili hata mambo ya uegeshaji hovyo wa magari?? Ushauri kuiga Manispaa ya Ilala kuiongezea Halmashauri mapato iweze kununua vitanda badala ya kusubiri hisanizenye malengo ya kisiasa ndio unaouita "tatizo la IQ" au kuwa barabara za katikati ya mji zina mashimona zile zinazoelekea chuo kikuu Tumaini zimejaa mahandaki kama uwanja wa vita ni uongo au hazimuhusuGreat Thinkers hawapaswi kusifia tuuuu kama mazuzu...LAZIMA TUWE NA TAFAKURI YA KINA ILI KUWAFANYA WANASIASA WETU WASIBWETEKE NA KUFIKIRI SISI NI WAJINGA SANA... LAZIMA WAWAJIBIKE ZAIDIpOLE NDUGU YANGU UNAYEPENDA KUSIFIA BILA KUFIKIRI...tuwakosoe CCM sawasawa na CDM and vise-versa.
We nenda kalale una hoja dhaifu kesho ukiamka uje na hoja nzito za mbunge gani wa ccm kafanya mambo mazito kuliko msigwa toka miaka 50 ya uhuru.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom