Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA