Chadema Kuzindua Tawi Tabata-Mawenzi. Tunaomba Ulinzi wa Polisi

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ndiyo.

Leo.

Eneo la Mawenzi.

Saa 11 jioni.

Lengo ni moja tu. Kuwa kuunda serikali ya mtaa 2014. huku kwetu CCM hawauziki. hawakubaliki.

Tunaomba ulinzi.

Ulinzi wa polisi.

Naskia. Polisi. Wamepiga marufuku. Mikusanyiko.

Mikusanyiko ya Chadema.

Washindwe. Kwa Jina la Yesu.

Tunaomba ulinzi dhidi ya Green Guard.

Ndiyo kazi ya polisi. Kulinda Raia. Wanachama wa Chadema nao ni raia.

Wanastahili kulindwa.

Au polisi na nyie ni CCM? Siyo walinzi wa Raia? Tunawakaribisha kwenye mkutano wetu. nyie polisi. ahsanteni.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom