CHADEMA Kuwasilisha hoja binafsi bungeni juu ya ufisadi wa IPTL/ESCROW

MJITA HALISI 176

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
537
146
Haya yamesemwa na naibu katibu wa chama taifa mh. JOYN MNYIKA. katika bunge litalotarajiwa kufanyika kuanzia jumanne chadema wamewasilisha tayari ombi ktk ofisi ya katibu wa bunge.

source: ITV newz
 
Mbunge wa Ubungo,mh.Nyika amesema amewasilisha barua kwa katibu wa bunge yenye lengo la kupeleka hoja binafsi kuhusu ufisadi wa IPTL na TPDC.

CHANZO:ITV.
 
Lazima kieleweke,kwa Tegeta Escrow Ccm hawachomoki, wanakufa na hili, za mwizi ni arubaini na arubaini yao imetimia
 
Hatutawaacha hadi mtakapojua kuwa ufisadi wenu ndo unaofanya Taifa hili kudumaa na kuwa ombaomba.
Hakuna kulala makamanda mpaka kieleweke.
Ova
 
TUNDU LISSU...MNYIKA...MSIGWA...KAFULILA...MBOWE...
WENJE....LEMA...NA BAADHI YA CCM who are loyal to TZ.....wakikomaaaa, HII SCANDAL Ya ESCROW NI KUBWA SANA..itaondoka na mawaziri kibaoo kama MAKINDA ALIVYOSEMA....WAITING...!™
 
tundu lissu...mnyika...msigwa...kafulila...mbowe...
Wenje....lema...na baadhi ya ccm who are loyal to tz.....wakikomaaaa, hii scandal ya escrow ni kubwa sana..itaondoka na mawaziri kibaoo kama makinda alivyosema....waiting...!™

kitaeleweka tuuuu mkuu
 
TUNDU LISSU...MNYIKA...MSIGWA...KAFULILA...MBOWE...
WENJE....LEMA...NA BAADHI YA CCM who are loyal to TZ.....wakikomaaaa, HII SCANDAL Ya ESCROW NI KUBWA SANA..itaondoka na mawaziri kibaoo kama MAKINDA ALIVYOSEMA....WAITING...!™

wote sawa ila hapo kwa lema Mi simkubali hyo jamaa
 
Siungi mkono ifisadi ! Nabariki juhudi zoz ore za kuutokomeza.
 
Nadhani mwenye hii Hoja nia David kafulila, na nina imani David Kafulila ana ushahidi wa kutosha au angalau basi ushahidi ambao unaweza kuleta uhalali wa Hoja kujadiliwa. Lakini pia nadhani kamati ya hesabu za mashirika ya Umma inaweza kuwa na nguvu ya kuwakilisha hoja yenye nguvu bungeni. Wabunge wa CHADEMA kama wana nia ya dhati basi wamashawishi David Kafulila kuwakilisha Hoja au M/Kiti wa Kamati ya Hesabu ya mashirika ya Umma (PAC) na pia labda washiriki kusaidia katika kumtatua Kafulila na kesi inayomkabili Mahakamani.
 
chadema mmezidi kuwa chama cha matukio. hii ishu aliianzisha Kafulila na alishasema kupeleka hoja bungeni juu ya escrow. ila nyie watu wa matukio mnarukia katikati. si mmuachie kafulila aendeleze na sisi wengine tumpea sapoti? kwani tukiendelea kumpa sapoti kafulila kinapungua nini?

Haya yamesemwa na naibu katibu wa chama taifa mh. JOYN MNYIKA. katika bunge litalotarajiwa kufanyika kuanzia jumanne chadema wamewasilisha tayari ombi ktk ofisi ya katibu wa bunge.

source: ITV newz
 
TUNDU LISSU...MNYIKA...MSIGWA...KAFULILA...MBOWE...
WENJE....LEMA...NA BAADHI YA CCM who are loyal to TZ.....wakikomaaaa, HII SCANDAL Ya ESCROW NI KUBWA SANA..itaondoka na mawaziri kibaoo kama MAKINDA ALIVYOSEMA....WAITING...!™
nimekuona wa hovyo baada ya kutokuliona jina la Zitto mtu ambaye kwa pamoja na Kafulila walitutoa tongotongo wa Tanzania juu ya hoja ya escrow ukiwepo wewe. eti na lema naye ni mtu muhimu! pyuuuuu!.
 
wote sawa ila hapo kwa lema Mi simkubali hyo jamaa
nashangaa empty person kama lema eti awe na mchango kwenye ishu sensitive kama hii. labda kwenye maandamano na kupiga watu matofali ndo panamfaa zaidi. huku kwenye ishu inazohusu brain big no.
 
Back
Top Bottom