CHADEMA kuwasha moto Arusha leo 25 May, 2011

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Leo mchana kutakuwa na mkutano wa hadhara arusha maeneo ya St. Thomas karibu na Ottu. Utahutubiwa na Lema(mb), Nassari, na madiwani wote wa chadema arusha.

Mkutano huu umeandaliwa na madiwani kuelezea wananchi utekelezaji wa ilani ya chadema kwenye kata zao, progress na kuendelea kuhoji uhalali wa meya feki wa arusha.
 
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo
 
Mkutano una kibali halali?

Hatupendi damu ya Watanzania iendelee kumwagika pasipo sababu za msingi.
 
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo

Yes, kazi ya kukomboa nchi kutoka kwa manyan'gau!
 
Leo mchana kutakuwa na mkutano wa hadhara arusha maeneo ya St. Thomas karibu na Ottu. Utahutubiwa na Lema(mb), Nassari, na madiwani wote wa chadema arusha.

Mkutano huu umeandaliwa na madiwani kuelezea wananchi utekelezaji wa ilani ya chadema kwenye kata zao, progress na kuendelea kuhoji uhalali wa meya feki wa arusha.

mbona mtawachanganya polisi Jua polisi wamepelekwa Tarime
 
Leo mchana kutakuwa na mkutano wa hadhara arusha maeneo ya St. Thomas karibu na Ottu. Utahutubiwa na Lema(mb), Nassari, na madiwani wote wa chadema arusha.

Mkutano huu umeandaliwa na madiwani kuelezea wananchi utekelezaji wa ilani ya chadema kwenye kata zao, progress na kuendelea kuhoji uhalali wa meya feki wa arusha.

Asante kwa taarifa. Tunawatakia mkutano mwema.
 
Acha uongo we ndio m/kiti wa kikao maana unatoa ajenda ambazo unataka aman itoweke . KAULI YA MAANA NI KUWATAKIA MKUTANO MWEMA NA WENYE AMANI NA MAFANIKIO
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo
 
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo

nani ambaye sio jobless kwenye hii tanzania ya ccm???? ww pamoja na wazazi na ndg zako walioko kijijini wote ni majobless. ukivunjika kiuno leo huna social security scheme yoyote ya kukuakikishia maisha hata kama umeajiriwa benki gani. u are a jobless still. zinduka

na usitupangie muda wa kuongea na mbunge wetu, nenda kajipangie muda wa kuongea na nape.
 
them be careful, wazungumzie mambo tu ya kimaendeleo na utekelezaji wa ilani yao ktk hizo kata kama walivokwisha ainisha, wazungumzie pia mipango mikakati ijayo ya kimaendeleo. pamoja na yote yanayotokea such as in Tarime but people nadhani wanapenda pia kusikia mipango/mazungumzo ya kimaendeleo and way forward,
 
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo

kwa hiyo mkuu siku hizi wewe ndio unapanga ratiba za chama, moja kwa moja umeisha jua na agenda.
 
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo
haya madharau CCM mnayatoa wapi? lakini iko siku tutaheshimina tu..Kwa hiyo watufanye usiku....!?
 
Basi stori itakua Tarime, hawana lingine la kujadili. sasa mchana watu si wako makazini, au ndio mkutano wa majobless huo
Kwani wewe una kazi gani mbona uko JF 24/7 kazi huwa unafanya wakati gani.
 
asanteni kwa taarifa, yapo mambo mengi watanzania wa arusha tunatakiwa kuyauliza kupitia mikutano kama hii, tunajua inagharama sana pale polisi wa ccm watakapoamua kutumia nguvu kwa wananchi bila sababu.

kamanda lema atatusaidia sana kujua mustakbali wa nchi hii, na nini kinachoendelea kuhusu suala la umeya wa arusha, nini kinachoendelea kuhusu suala la wananchi wa tarime waliopigwa risasi kisogoni na polisi wa ccm.

Naunga mkono 100%

Peopleeeeeeezzzzzzzzz!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom