Niliona 'press release' ya Chadema iliyotolewa na Katibu Mkuu ikisema 'wanasikitika kutangaza kifo cha Profesa Baregu'. Labda kama kusema hivyo 'siyo kuutarifu umma' hapo naweza kukubaliana nawe.CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.
Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.
Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?
View attachment 1818132