CHADEMA Kutaka Mazungumzo Wakati Kumekucha Ni Dharau Kwa Serikali. Watazungumza Hukohuko Barabarani

CCM na polisi wamechanganyikiwa hawajui pakushika
Tutawapelekea moto hadi 31 agst. hata akiahirisha UKUTA mission accomplished, serikali wameicheza ngoma hii vizuri kwani wamepita kila kona ya nchi hii kwa kupitia jeshi la polisi kuutangazi uma kuhusu UKUTA yaani Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania. Lengo ni CHADEMA kibaki katika masikio ya watanzania hadi 2020 na serikali iendelee kupoteza muda
 
Watanzania tumejengwa katika misingi ya Undugu hatuulizani ukabila,udini ,ukanda Na tunahistoria ya AMANI hata Uhuru tumeupata Kwa AMANI.
Kuitwa Chama cha Upinza Tanzania lazima kisimamie misingi hiyo kinaweza kuungwa mkono Na Wananchi wengi.
Lakini baada ya upinzani wa hali ya Juu ya NCCR ya Ryatonga Mrema hakuna tena wapinzani waliopo au vyama Vilivyofuata nyuma CUF Na CHADEMA kuwa vyama vikubwa Vya Upinzani havikuweza kusimamia Misingi Na Historia ya watanzania Kunavitu ukitazama Kwa undani utaona Vipo nyuma ya pazia Na Watanzania walivyo haikuja kuwaamini watawazuga kula hela za kuwahonga lakini mwisho wa Siku wanafanya maamuzi sahihi.Una maamuzi waliyoyafanya hadi Dunia inatumia mfano Kwa Maamuzi Sahihi .
walizuia misaada badae wakawaelewa watanzania kwamba wapo makini Na hawajaribiwi.
Trh 1 Sep 16 watuhataenda Uko wanakohamasishwa wataendelea Na shughuli zao. USHAURI NI KWA WALE WACHACHE WATAKAONUNULIWA VILOBA NAJUA WANAWEZA KWENDA KWA KUSHAWISHIWA NA POMBE, POMBE ZIKIWAISHA NA KAMAWATAKUWA WAMEJERUHIWA WAWASHTAKI WALIOWANUNULIA VILOBA.
 
LOWASSA, MBOWE na LISSU wasije tu wakawatanguliza watoto wa watu wasio na hatia.
Kwani wewe CHADEMA si wacha watu wafanye yao! We unamwona Mbowe, Lowassa na Lisu tu! Mnafikiri mnaweza kuachwa muiendeshe hii Nchi kihuni tu! Tulia uone moto wake! Jasho linawatoka mpaka kwenye meno! Hao Polisi wako wangapi Tanzania hii?
 
Chadema were always open for talks, tena kulikuwa na meeting at the beginning of the month kufind a solution kuhusu mambo ya kisiasa yanayo endelea nchini.Waliotokea to the meeting ni katibu mkuu vicent mashinji, msajili wa vyama vya siasa francis mtungi na director wa tanzania centre for democracy Daniel Loya. Guess who hakutokea, CCM, IGP na Attorney General.

Na Mashinji ni katibu mkuu wa vyama vyote vya siasa hapa Tanzania!????mbona hushangai hakukua na koingozi yeyote wa CUF,ACT,UDP etc!???au wao wanafanya muziki wa singeli ila chadema tu ndio wanafanya siasa!??NANI ALIWAPITISHA KUWA WAWAKILISHI PEKEE NA WASEMAJI WA ''WATANZANIA'' KAMA AMBAVYO HUWA MNAJINADI!!????tafsiri pekee ya mtanzania ni kuwa mwanachama wa chadema tu!???
ETI 'open to talks'............hamkuona umuhimu wa open talks mpaka mlipoona mkulu anasisitiza hajaribiwi!??hiz siasa za wanasiasa kujaribu kuwa 'celebrities'(kama kina shilole) na kuutafuta umaarufu kwa gharama yoyote haziisaidii CHADEMA hata kidogo na nafikiri ndio maana watu makini chamani huwasikii wakiunga mnkono hizi harakati publicly!
chama cha harakati hakiwez kushika dola mpaka kimebadili approach yake!
andamaneni tu,tutasoma kwenye taarifa ya habari kitakachowapata..
 
kweli kunawatu wanamioyo ya kike yan mkeo analia, hata wewe! mlizoe vya kunyonga eeeeeeh! kazi september Mosi wacha kiwakeeeeeeeeeeeee. kwani we unacholilia kitugani hadi unafikia umri huo na usomi uliokuanao ujui maana ya maandamano ya Amani! Nani amekwambia Chadema wanataka kufanya maandamano ya Vurungu? Soma Sheria za Vyama vya siasa sehemu ya pili kipengele (E) Sio unalopoka kama punguani Aliekunywa Mnazi wa Hasubui
yanakua ya amani pale tu yanapofuata taratibu...na miongoni mwa hizo taratibu NI KUWA NA KIBALI KUTOKA JESHI LA POLISI.kama hayana kibali na yakazuiwa ila yakalazimishwa tu hizo ni vurugu na ghasia na they will be dealt with accordingly na mamlaka husika
 
Jumanne Njema Wana JF.

Zimebaki tabribani siku 8 kabla ya 01/09/2016, tarehe ambayo Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kitafanya mikutano na Maandamano nchi nzima ikiwa ni utekelezaji wa kile walichokiita ni Operation UKUTA.

Aidha ni takribani mwezi mmoja tangu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe atangaze OPERATION UKUTA ikiwa ni maandalizi ya kutekeleza kile alichokiita ni moja ya maazimio yaliyofikiwa na Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi katika Hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es Salaam 23-26 julai, 2016.

Tangu kutangazwa kwa Operation UKUTA, watu binafsi, taasisi za Serikali na zisizo za Serikali vikiwemo vyama vingine vya siasa kwa wakati tofauti zilitoa matamko ya kuwataka Chadema kutumia njia mbadala wa kufikisha malalamiko yao kwenye mamlaka husika na kwa wananchi pia lakini hawakuataka kusikia hata kidodgo. Waliendelea na maandalizi ya Operation hiyo.

Tangu kutangazwa kwa Operation hiyo hakuna chombo chochote cha habari kilichoandika wala kutangaza kuwa CHADEMA WAKO TAYARI KWA MAZUNGUMZO. Magazeti mengi hususan yale yanayomlikiwa na viongozi wa CHADEMA na yale yaliyonunuliwa rasmi kueneza injili ya UKUTA, kurasa zake za mbele kwa muda wote huo zimekuwa zikipambwa na vichwa vya habari vikionesha jinsi gani CHADEMA wamejipanga kupambana na Serikali siku ya septemba mosi.

MBOWE NA KAULI YAKE YA KUTAKA MAZUNGUMZO

Moja ya KADHIA ambayo serikali ya awamu ya NNE ilikumbana nayo wakati wa matukio kama haya ni KUITWA DHAIFU kwa sababu haikuyachukulia kwa uzito wake.

Juzi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE akiwa kanda ya Kaskazini alisikika akisema WAKO TAYARI KWA MAZUNGUMZO. Hii ni dharau sana kwa serikali ya awamu ya tano na sidhani kama itakuwa tayari KUITWA DHAIFU.

MAZOEZI YANAYOFANYWA NA JESHI POLISI

Jeshi la POLISI limetolea maelezo mazoezi yanayofanywa na vikosi vyake kuwa ni mazoezi ya kawaida ya jinsi ya kupambana na matukio ya uvunjifu wa amani. Wote wanaodanganywa na Viongozi wa CHADEMA kuwa waingie kwenye maandamano hayo kwa madai kuwa ni ya amani watambue kuwa SIYO ya AMANI tena kwa vile yameshapigwa marufuku kwa sababu siamini kama CHADEMA wana barua kutoka jeshi la Polisi inayowaruhusu kufanya maandamano hayo.

KWA KIFUPI, Maandamano hayo ni VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI ambayo ni moja ya vitendo vinavyofanyiwa mazoezi na POLISI. Hivyo CHADEMA wajiandae kwa vile wamekuwa wakaidi na sidhani kama kwa hili watakuwa na wa kumlalamikia.

KAULI YA LOWASSA KUWA HAWAKUKURUPUKA NA UKUTA

Jana Lowassa akiwa katika Kuhamasisha Operesheni UKUTA katika majimbo ya Mbeya Vijijini , Vwawa na Tunduma alisema na hapa nanukuu "Kamati kuu ilipoamua katika suala la UKUTA haukukurupuka, Kamati Kuu yetu inaundwa na mchanganyiko wa wasomi wa kada mbalimbali, wazee wenye busara na vijana machachari kamwe hawawezi kukurupuka na UKUTA ni haki ya Watanzania wote" mwisho wa kunukuu.

Hii kauli ya LOWASSA watailewa watu Mambumbumbu kabisa:
Ni kweli Chadema kina wasomi, wazee wenye busara lakini wapo kama HADAA kwa Waatanzania kuwa chama kina watu hao. Kiuhalisia, hawapo.

Nimpe mifano miwili tu ya KUWEPO kama HAWAPO watun kama akina Mweisiga Baregu, Prof. Abdallah Safari, Mabere Marando na vijana hao machachari ambao mimi binafsi siwaoni.

1. Wakati wa Sakata Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA, Prof. Baregu, Mwanasheria Mabere Marando na aliyekuwa Katibu Mkuu, Dr. Wilbrod Slaa waliwahakikishia Wanachama wa Chadema umuhimu wa Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA na umuhimu wa kuwepo wa mazungumzo ambayo yangelenga kuepusha Zitto Kabwe kuondoka.

Maneno ya viongozi hawa ambao ni wazee na wasomi tuljua yalitokana na nafasi zao ndani ya chama kama wasomi, wazee na watu wenye busara. Matokeo ya Sakata hilo sina sababu ya kuyasema yanajulikana. Zitto alitaka kuingilia madaraka ya watu huku wengine kama Tundu Lissu na John Mnyika wakitaka nafasi ya Zitto Kabwe ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

2. Sakata la yeye LOWASSA kuhamika CHADEMA.

View attachment 386095
Angalia hiyo picha LOWASSA akikaribishwa CHADEMA. Mwangalie Prof. Baregu ameangalia wapi na amejishikaje? Dr. SLAA amejishikaje? Peter Msigwa amejishika wapi? watu wote siku hiyo waliufyata kwa maana walikubaliana tu na matakwa ya mfalme na siyo kwamba waliridhia.n Nini ilikuwa nafasi ya hao anawaowaita Wasomi na wazee katika kumkaribisha Lowassa CHADEMA?

KAULI YA KWAMBA POLISI WANATUMIA NGUVU NYINGI KUJIANDAA NA MAANDAMANO YA WATU WASIO NA SILAHA.

Yote haya ni maneno ya kutapatapa tu. CHADEMA ni chama cha siasa na kina wafadhili toka nje. Kila siku wanakwenda Canada, Ujerumani n.k. Itakuwa ni serikali ya ajabu sana isipowalinda wananchi wake dhidi ya watu ambao wanaweza kutumiwa na wabaya wa taifa lao kuwahujumu kisiasa, kiuchumi na hata kiusalama. Wao waende tu huku wakijua wanakwenda kukabiliana na nguvu ya kutosha tena wajiandae kabisa.

NARUDIA KUSEMA "CHADEMA WAMETAKA MAZUNGUMZO KUMEKUCHA, WAENDE WATAZUNGUMZA NA DOLA HUKO HUKO BARABARANI".
Ukweli, mchungu kwa ufipa, hakika umenena
 
Hoja yetu ni Fisadi Lowassa afikishwe mahakamani!![/QUOTE]

iliacha kua hoja yenu kitambo!!na hapa mlipoteza wengi walioanza kuwaamini kama watu makini...
binafsi nilipata wasiwasi kuendelea kuamini chama ambacho kinatemea mate na kujisaidia juu ya vazi adhimu ambalo kimejipambanua kwalo na kujistiri nalo mbele za watu kwa muda mrefu na kuaminika hadi kwa gharama za maisha/damu za watu.niliona ghilba na udanganyifu na nikakata shauri kutokiamini chama cha hivyo tangu hapo.
 
Na Mashinji ni katibu mkuu wa vyama vyote vya siasa hapa Tanzania!????mbona hushangai hakukua na koingozi yeyote wa CUF,ACT,UDP etc!???au wao wanafanya muziki wa singeli ila chadema tu ndio wanafanya siasa!??NANI ALIWAPITISHA KUWA WAWAKILISHI PEKEE NA WASEMAJI WA ''WATANZANIA'' KAMA AMBAVYO HUWA MNAJINADI!!????tafsiri pekee ya mtanzania ni kuwa mwanachama wa chadema tu!???
ETI 'open to talks'............hamkuona umuhimu wa open talks mpaka mlipoona mkulu anasisitiza hajaribiwi!??hiz siasa za wanasiasa kujaribu kuwa 'celebrities'(kama kina shilole) na kuutafuta umaarufu kwa gharama yoyote haziisaidii CHADEMA hata kidogo na nafikiri ndio maana watu makini chamani huwasikii wakiunga mnkono hizi harakati publicly!
chama cha harakati hakiwez kushika dola mpaka kimebadili approach yake!
andamaneni tu,tutasoma kwenye taarifa ya habari kitakachowapata..
Weee pimbi kweli ww.. Waliotangaza opareshen UKUTA ni nccr..cuf.. Udp.. Ama chadema? Tumia pimbi ww.. UKUTA ni tamko la kamati kuu ya chadema na hivyo vyama unavyovisingizia... Punguza utahira
 
Jumanne Njema Wana JF.

Zimebaki tabribani siku 8 kabla ya 01/09/2016, tarehe ambayo Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kitafanya mikutano na Maandamano nchi nzima ikiwa ni utekelezaji wa kile walichokiita ni Operation UKUTA.

Aidha ni takribani mwezi mmoja tangu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe atangaze OPERATION UKUTA ikiwa ni maandalizi ya kutekeleza kile alichokiita ni moja ya maazimio yaliyofikiwa na Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi katika Hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es Salaam 23-26 julai, 2016.

Tangu kutangazwa kwa Operation UKUTA, watu binafsi, taasisi za Serikali na zisizo za Serikali vikiwemo vyama vingine vya siasa kwa wakati tofauti zilitoa matamko ya kuwataka Chadema kutumia njia mbadala wa kufikisha malalamiko yao kwenye mamlaka husika na kwa wananchi pia lakini hawakuataka kusikia hata kidodgo. Waliendelea na maandalizi ya Operation hiyo.

Tangu kutangazwa kwa Operation hiyo hakuna chombo chochote cha habari kilichoandika wala kutangaza kuwa CHADEMA WAKO TAYARI KWA MAZUNGUMZO. Magazeti mengi hususan yale yanayomlikiwa na viongozi wa CHADEMA na yale yaliyonunuliwa rasmi kueneza injili ya UKUTA, kurasa zake za mbele kwa muda wote huo zimekuwa zikipambwa na vichwa vya habari vikionesha jinsi gani CHADEMA wamejipanga kupambana na Serikali siku ya septemba mosi.

MBOWE NA KAULI YAKE YA KUTAKA MAZUNGUMZO

Moja ya KADHIA ambayo serikali ya awamu ya NNE ilikumbana nayo wakati wa matukio kama haya ni KUITWA DHAIFU kwa sababu haikuyachukulia kwa uzito wake.

Juzi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE akiwa kanda ya Kaskazini alisikika akisema WAKO TAYARI KWA MAZUNGUMZO. Hii ni dharau sana kwa serikali ya awamu ya tano na sidhani kama itakuwa tayari KUITWA DHAIFU.

MAZOEZI YANAYOFANYWA NA JESHI POLISI

Jeshi la POLISI limetolea maelezo mazoezi yanayofanywa na vikosi vyake kuwa ni mazoezi ya kawaida ya jinsi ya kupambana na matukio ya uvunjifu wa amani. Wote wanaodanganywa na Viongozi wa CHADEMA kuwa waingie kwenye maandamano hayo kwa madai kuwa ni ya amani watambue kuwa SIYO ya AMANI tena kwa vile yameshapigwa marufuku kwa sababu siamini kama CHADEMA wana barua kutoka jeshi la Polisi inayowaruhusu kufanya maandamano hayo.

KWA KIFUPI, Maandamano hayo ni VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI ambayo ni moja ya vitendo vinavyofanyiwa mazoezi na POLISI. Hivyo CHADEMA wajiandae kwa vile wamekuwa wakaidi na sidhani kama kwa hili watakuwa na wa kumlalamikia.

KAULI YA LOWASSA KUWA HAWAKUKURUPUKA NA UKUTA

Jana Lowassa akiwa katika Kuhamasisha Operesheni UKUTA katika majimbo ya Mbeya Vijijini , Vwawa na Tunduma alisema na hapa nanukuu "Kamati kuu ilipoamua katika suala la UKUTA haukukurupuka, Kamati Kuu yetu inaundwa na mchanganyiko wa wasomi wa kada mbalimbali, wazee wenye busara na vijana machachari kamwe hawawezi kukurupuka na UKUTA ni haki ya Watanzania wote" mwisho wa kunukuu.

Hii kauli ya LOWASSA watailewa watu Mambumbumbu kabisa:
Ni kweli Chadema kina wasomi, wazee wenye busara lakini wapo kama HADAA kwa Waatanzania kuwa chama kina watu hao. Kiuhalisia, hawapo.

Nimpe mifano miwili tu ya KUWEPO kama HAWAPO watun kama akina Mweisiga Baregu, Prof. Abdallah Safari, Mabere Marando na vijana hao machachari ambao mimi binafsi siwaoni.

1. Wakati wa Sakata Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA, Prof. Baregu, Mwanasheria Mabere Marando na aliyekuwa Katibu Mkuu, Dr. Wilbrod Slaa waliwahakikishia Wanachama wa Chadema umuhimu wa Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA na umuhimu wa kuwepo wa mazungumzo ambayo yangelenga kuepusha Zitto Kabwe kuondoka.

Maneno ya viongozi hawa ambao ni wazee na wasomi tuljua yalitokana na nafasi zao ndani ya chama kama wasomi, wazee na watu wenye busara. Matokeo ya Sakata hilo sina sababu ya kuyasema yanajulikana. Zitto alitaka kuingilia madaraka ya watu huku wengine kama Tundu Lissu na John Mnyika wakitaka nafasi ya Zitto Kabwe ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

2. Sakata la yeye LOWASSA kuhamika CHADEMA.

View attachment 386095
Angalia hiyo picha LOWASSA akikaribishwa CHADEMA. Mwangalie Prof. Baregu ameangalia wapi na amejishikaje? Dr. SLAA amejishikaje? Peter Msigwa amejishika wapi? watu wote siku hiyo waliufyata kwa maana walikubaliana tu na matakwa ya mfalme na siyo kwamba waliridhia.n Nini ilikuwa nafasi ya hao anawaowaita Wasomi na wazee katika kumkaribisha Lowassa CHADEMA?

KAULI YA KWAMBA POLISI WANATUMIA NGUVU NYINGI KUJIANDAA NA MAANDAMANO YA WATU WASIO NA SILAHA.

Yote haya ni maneno ya kutapatapa tu. CHADEMA ni chama cha siasa na kina wafadhili toka nje. Kila siku wanakwenda Canada, Ujerumani n.k. Itakuwa ni serikali ya ajabu sana isipowalinda wananchi wake dhidi ya watu ambao wanaweza kutumiwa na wabaya wa taifa lao kuwahujumu kisiasa, kiuchumi na hata kiusalama. Wao waende tu huku wakijua wanakwenda kukabiliana na nguvu ya kutosha tena wajiandae kabisa.

NARUDIA KUSEMA "CHADEMA WAMETAKA MAZUNGUMZO KUMEKUCHA, WAENDE WATAZUNGUMZA NA DOLA HUKO HUKO BARABARANI".
Kazi mwafanya saangapi
 
UKUTA ndio mpango mjini..ht polisi wanaicheza ngoma ya UKUTA barabarani ss hv
 
Weee pimbi kweli ww.. Waliotangaza opareshen UKUTA ni nccr..cuf.. Udp.. Ama chadema? Tumia pimbi ww.. UKUTA ni tamko la kamati kuu ya chadema na hivyo vyama unavyovisingizia... Punguza utahira
we usiekua pimbi naona umevamia post bila hata kujua ilikotoka...
na tukicheza kwa sheria zako....chadema ndio walitamka ''ukuta''....niliem quote analalamika CCM kutuhudhuria kikao cha suluhu....nao walitoa tamko la kuanzisha ukuta!????
walipaswa ku deal na mamlaka husika since ndio zinzotoa vibali kwa maandamano...
na pia anaefanya siasa sio chadema pekee..wao wanasemea wana chadema na watu wanaoamini kwenye sera zao tu na sio vinginevyo.
soma post ya niliemquote kabla kabla hujaja kutingishia makalio wanaume hapa..
 
Mleta mada bila shaka huna kumbu kumbu, tangu mwanzo Chadema na taasisi mbali mbali zilifanya juhudi kubwa sana kutaka jambo hili liwekwe mezani lakini kilichotokea tunakijua.

Tunakumbuka jinsi IGP alivyojibu, jinsi mheshimiwa Rais alivyojigamba na jinsi baadhi ya viongozi wasio na busara walivyotoa matamko yao kuilaani Chadema. Kwa kweli aliyekataa majadiliano ni serikali siyo Chadema, ebu tuwe fair kwenye mambo mazito ya kitaifa kama haya tusikalie kulaumu badala ya kushauri.
Hata wewe huna kumbukumbu,mleta mada yuko vizuri na sahihi chadema wanajaribu na wanataka kuona wao miaka miwili iliyopita walisema rais kikwete ni rais dhaifu hawajawahi kuona rais kama huyo,leo wanakuja na ngonjera nyingine.
 
Chadema were always open for talks, tena kulikuwa na meeting at the beginning of the month kufind a solution kuhusu mambo ya kisiasa yanayo endelea nchini.Waliotokea to the meeting ni katibu mkuu vicent mashinji, msajili wa vyama vya siasa francis mtungi na director wa tanzania centre for democracy Daniel Loya. Guess who hakutokea, CCM, IGP na Attorney General.

Mazungumzo mtayafanya na Polisi barabarani September Mosi.
 
Hata wewe huna kumbukumbu,mleta mada yuko vizuri na sahihi chadema wanajaribu na wanataka kuona wao miaka miwili iliyopita walisema rais kikwete ni rais dhaifu hawajawahi kuona rais kama huyo,leo wanakuja na ngonjera nyingine.

Kikwete aliwadekeza sana wakaona wanaweza kumchezea kila mtu. Sasa waingie tu barabarani hapo September Mosi.
 
Walizoea kubembelezwa! Yaani mpaka inachekesha wamekutana na mwanaume hana muda huo! !hawakutegemea kabisa lol!
Walizoea kuitwa Ikulu kunywa chai ya bure!! Sasa huyu mwanaume halegei kakomaa tu anasubiri waingie road waone NUNDU zinatokaje mwilini!! Na mimi ninasema wapigwe tu tena kipigo heavy maana hamna namna!! Tunaelekezana tufanye hivi tujenge nchi mijitu inakuja na mambo ya ajabu ajabu tu hivi tutatatua tatizo la afya,umeme,barabara,elimu,maji na mengine mengi kwa kudhurura barabarani!! Hizo ni akili za kubadilikia angani za DJ
 
Serikali wasikubali kabisa hawa wahuni wa ufipa waje tuongee nao barabarani hakuna meza ya mazungumzo hata kidogo tuwaswage tu.
 
M
Chadema were always open for talks, tena kulikuwa na meeting at the beginning of the month kufind a solution kuhusu mambo ya kisiasa yanayo endelea nchini.Waliotokea to the meeting ni katibu mkuu vicent mashinji, msajili wa vyama vya siasa francis mtungi na director wa tanzania centre for democracy Daniel Loya. Guess who hakutokea, CCM, IGP na Attorney General.
Mmelitengeneza tatizo, mmelipalilia, halafu sasa mnataka kuita watu wawasaidie kulitatua!

Mtajiju!
 
Back
Top Bottom