CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

"CDM kuna mgogoro",we wasema lakini sisi hatu uoni huo mgogoro kwa sababu wapondanaji wanatafuta kula.
 
kuweni makini na huyu mshirikina tena anajibadili humu JF mii naogopa asije nimaliza na panya wangu humu ndani. Na leo angekuwa kwenye maamuzi ya kesi ya Lema watu wangekimbia hakuna mfano. People are very worried about him
Ile kauli ya kukurupuka itamgharimu sana prezzo. Wataiacha Chadema, wangali wanaitaka, yeye na masalia wake.
 
Hivi kinana yupo?sija msikia au yupo hunting serengeti

Kinana yupo kazini na anafanya kazi kwa umakini mkubwa tena sio kukurupuka na matunda sasa yameanza kuonekana na lazma CDM muda si mwingi itabaki historia.Kwa umakini wa kinana huwezi kumsikia kwani hii ni pati ya kimyakimya.
Si lamza mkubali ila nawataka msubiri matokeo kwani kila kitu kipo tayari kilichobaki ni utekelezaji ambao umekwisha anza
 
Nguli huyu ambaye alithibitisha yeye ni muarubaini wa CHADEMA kwa kiasi kikubwa limejidhihirisha migogoro inayoonekana sasa ndani ya CHADEMA yenye kuhusisha viongozi ambao ni mihimili ndani ya chama inaonesha muelekeo wa kifo cha chama hiki.Sasa siri nyingi zinaandikwa waziwazi,tunaelezwa na baadhi ya viongozi hao mitandaoni wazi wazi kwamba Dr. Slaa alikua na mpango wa kukatisha uhai wa ZZK kwa sumu.

Tunaelezwa jinsi vugu vugu la BAVICHA kuwa na mbinu za kuwasambaratisha Slaa na Mbowe.Malengo ya chama sasa yana hama kutoka movement for change yamekua move 2 die.

Hapa lazma pia CHADEMA watakubali mikakati ya safu mpya ya CCM chini ya Mzee Kinana kwamba ni sumu kwao kwani muda mfupi tu baada ya uongozi huu kuingia kazini CHADEMA migogoro haishi.

CHADEMA mmeshaelekea kibla KInana andaa kisu tayari kwa kusilimisha!
hadi sasa mziki wa CDM umeshinda, halafu kama coincidence Lema karudi, huuu ujinga umefunikwa kabisa na CCM hawana cha kujivunia zaidi ya aibu.CCM hawakupaswa wekeza ktk huu ujing, walipaswa kuwa champion wa kukuza democrasia.Sasa sioni kwa nini wawekezektk hizi njia chafu na za aibu.Kila siku wanashikw awkaiwanga ktk duka la wenzao wakati wao wanauza vitu vilivyo expire?
 
hadi sasa mziki wa CDM umeshinda, halafu kama coincidence Lema karudi, huuu ujinga umefunikwa kabisa na CCM hawana cha kujivunia zaidi ya aibu.CCM hawakupaswa wekeza ktk huu ujing, walipaswa kuwa champion wa kukuza democrasia.Sasa sioni kwa nini wawekezektk hizi njia chafu na za aibu.Kila siku wanashikw awkaiwanga ktk duka la wenzao wakati wao wanauza vitu vilivyo expire?

Kurudi kwa lema hakuwezi kuzuia umauti wa CDM kwani kesi yake haikumzuia Lema kutekeleza wajibu wake kichama.
 
Sasa nimeamin kuwa hapa Jf, ukitaka kuharibu weka uz unaowasifia wasio na sifa kwenye jamii, kwa huu upande wa pil nadhan ni Mwakyembe na Magufuli tu. Pole mwenye uzi
 
Chama cha siasa ni taasisi si mtu binafsi. CDM haiwezi kufa kwa sababu ya mtu mmoja. Zito ni vile alivyo kwa vile yupo CDM, nje ya CDM Zito si lolote na akitaka kuhakikisha aende nje ya CDM. Mfano mzuri ni Julus Malema wa ANC Afrika kusini, sasa hivi anahaha kutafuta msamaha arudi ANC baada ya kugundua kwamba nje ya ANC Malema si lolote. CCM kwa upande wake inatakiwa kutekeleza ahadi kwa Wa-Tz nasio kuiandama CDM. Na wakifanya mzaha muda uliobaki ni mfupi sana sijui 2015 wanatarajia kuwaambia wananchi wame fanikiwa kuua CDM, kitu ambacho sicho ndicho walichotumwa kufanya. CCM imepoteza mwelekeo kwa kucheza ngoma ya CDM
 
Kinana yupo kazini na anafanya kazi kwa umakini mkubwa tena sio kukurupuka na matunda sasa yameanza kuonekana na lazma CDM muda si mwingi itabaki historia.Kwa umakini wa kinana huwezi kumsikia kwani hii ni pati ya kimyakimya. Si lamza mkubali ila nawataka msubiri matokeo kwani kila kitu kipo tayari kilichobaki ni utekelezaji ambao umekwisha anza
Hah ha haa...! gimmy's ungejua Kinana anavyosononeka na kuteseka! Anatamani ahame hata nchi. Je unajua kwa nini alitangaza kung'atuka pale mwanzo? Uliza uambiwe ama mtafute Mkama akusimulie. Masikini Kinana ndio sasa anatambua kaingizwa choo cha kike, heri asingekubali...tatizo ni kuwa mlafi hashibi na fisadi hatosheki! Wiping dirty asses all day aint fun!
 
Last edited by a moderator:
mtu anayetabiria upinnzani kifo anatabiria nchi kifo na anatabiri kifo chake mwenyewe. upinzani ni sehemu ya maisha ya nchi
 
Utabiri wake haukutimia kwa vile mipango yao ya kuwezesha hilo kutokea imaharibika prematurely.

Hivyo aibu ni kwake Wassira, na serikali yake na chama mfu cha majangili.
Kila mpango wao wa kuivuruga CHADEMA kupitia Zitto au vibaraka wengine ndani ya CHADEMA umegunduliwa na kubainishwa.

G-D is good, so good indeed!
 
Yuko wapi mzalendo/mwanamageuzi 'HUTAKI UNAACHA'?
Wherever you are, kindly just say something mkuu.
 
chadema ni chama cha upnzani. na vtendo vya chadema vipo katika maana hii sasa Wasira anataka kusema nini?
 
Kurudi kwa lema hakuwezi kuzuia umauti wa CDM kwani kesi yake haikumzuia Lema kutekeleza wajibu wake kichama.

Kuwa mbunge wa Arusha ni suala lingine,Hiyo kutenda shughuli za chama haikuwa direct ni busara za chama na imani kwake ndio ilipelekea mara moja wakamweka mahali pa kuitoboa CCM vyema.Sasa tusubiri issue ya pinda.Naona Mods wametoa threat yangu iliyokuwa inauliza maswali ya msingi.Pinda atakavyokwa ktk kiti moto kwa kudangaya Bunge.Niliuliza kama JK anao tena mawaziri wa kuchukua Nafari Pind atakapokutana na zahama bungeni ambalo hataolikwa kirahisi kwa rushwa kama za kwa Zitto


Kwanini usisubiri Kesho tuu uone Rais wa Jimbo akiingia nyumbani kukagua,Yaani wale akina mama wa arusha kuna baadhi walishakata tamaa baad ya kutomwona mbunge wao muda mrefu Kesho watamtukana matusi batilda kama walivyofanya kipindi kile wakimpiga kwa nyanya hadi hakuthubutu kwend amahakamani badala yake wajinga wakampeleka Lema.Sasa watalipa hela kivyao.CCM mwana haramu.
 
Back
Top Bottom