CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

Mkuu wewe ni mtoto wa kiume punguza mipasho wapi nimemuita Mzee Mtei muhuni? Halafu hii ni forum huru hatukuja humu kutishana bahati nzuri mie nasimamia ninacho kiamini na ninaheshimu members wenzangu naona wewe mwenzetu Chadema imekupa upofu hutaki mtu yoyote wa Chadema tumjibu...wazee wengi humu JF mbona wanajibiwa, majibu yangu kwenye post yangu FJM kanielewa vizuri, mkuu JF sio mali ya Chadema usitishe watu eti koma!

Mkuu acha kutoka mapovu Cool down.Isome vizuri comment yako umesema Mtei kaongea kihuni.Hata hivyo samahani nawithdraw statement yangu kwako! Nilichukizwa sana na maneno ya Wassira.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikifuatilia maneno na matamshi ya viogozi wa CCM kuhusu CDM. Nimeona kuwa sasa CCM inajaribu kuwaadaa wananchi waweze kuamini kuwa CDM ni ya watu wa Kaskazini na inaendekeza Ukabila. Maneno haya yamesemwa na Nauye katika matukio tofouti. Na hata wanajaribu kumtumia Shibuda aweze kuingiza Mgogoro ndani ya CDM ili CDM ishindwe kutawalika. Hivi karibuni Shibuda alitoa kauli hiyo hiyo ya Ukanda na Ukabila kama ambavyo viongozi wa CCM wanavyofanya. Maneno hayo ya Shibuda yanadhihirisha kuwa Shibuda sio mpambanaji na anikitumikia CCM kijahja ndani ya CDM.

Miaka kati ya 1995-2005 CCM iliweza kufanikiwa kukiuwa CUF kwa kutumia propaganda kuwa CUF ni chama cha Waislamu na Chimbuko lake ni huko Pemba. Pia iliweza pia kuwataja waanzilishi wa CUF ambao walioonishwa na Uislam wenye msimiamo mikali. Propaganda hii iliweza kuwaingia watanzania enzi hizo ambao bado walikuwa hawajakuwa na muamko wa mabadiliko na kweli watu wakaichukia CUF kama Chama Cha Uislamu. Kitendo hiki kilichafua sana CUF hasa maeneo ya TZ-Bara.Bahati mbaya sana CUF walishindwa kuua hii propaganda.

Ushauri wangu kwa wananchi na wanachama wa CDM ni kuwa macho na CCM kwa kuwa wanawatalaam wa propaganda na wanaweza kufanya lolote. Wengi wao walisomeshwa China na Urusi enzi za Chama kimoja ili waweze kukiongoza CCM kwa kutumia propaganda.

Wapenzi wa CDM sasa kaeni macho na kauli zozote za Viongozi wa CCM hasa Nauye kwa kuwa zinaweza kuwakatisha Tamaa ya M4C. Nchi yetu inahitaji mabadiliko hata iweje maana CCM sasa wameshafanya Tanzania mali yao. Wanauza kila kitu. Sasa Hivi kuna Tajiri Mmoja wa Marekani(Mwenye asili ya Ukraine) ameshaanza kuchimba dhahabu kule Majimoto maeneo ya Ring'wani wilaya ya Serengeti. Huyu Mzungu ni tajiri sana na anamiliki kampuni moja inayoitwa MPG Global. Huyu ni rafiki yake kikwete na eneo hilo ameuziwa kinyamela.

Someni hapa mjue MPG Global ni ya akina nani: MPG Global - Board of Directors

Nawasilisha.
 
shibuda hana wadhifa wowote CDM zaidi ya uwakilishi wa jimbo lake wala hamna kikao kikubwa chochote ndani ya CDM anachohudhuria hata popularity yake ni ndogo sana kwahiyo kuuwa chadema haiwezekani kabisa kupitia Gamba Shibuda
 
Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu. Mungu ibariki CDM, na wape hekima viongozi wake
 
Nasikia kichefuchefu nikiona madudu kama haya ya MPG Global ni ujinga mtupu kuwa na kina chief mangungu ambao ni wasomi wasioelimika wakikuwadia rasilimali za nchi yetu. Inakera.
 
Wasira ni mtu makini sana kwa kiasi kikubwa ndio aliofanikisha ziara ya Chadema Ikulu kwenda kuonana na Rais Kikwete, anachosema siwezi kukataa ni suala muda tu...kuna mitengo yake kaitenga ndani ya Chadema, hata kule Mwanza ni mkono wake.

yale mpanga waliyo katwa wana cdm?! Walitumwa na Wasira?! Alikua Arumeru lakini ritz1!
 
Labda Kwa kumtumia John Magale Shibuda na vibaraka wengine wadogo wadogo unaweza kuanzisha Uhasi kidogo ndani ya chama lakini bahati mbaya Ndugu yetu S.Wassira anaonyesha alitoka USINGIZINI akakurupuka chadema imekipindua chama cha Mapinduzi na yeye anaondoka Ikulu masikini atakuwa wapi?

Ndoto za mwendawazimu kuota mchana Chadema sio chama cha Wachagga tu ni chama cha WTZ wote ambao wanachukizwa sio tu na viongozi waliopo kwenye utawala bali wanachukizwa na matendo yanayofanywa na hao wateule sio ajabu hata yeye ni miongoni mwao kwani kama aoni madhambi hata aliyoyasema CAG basi Watz tufunge kwa kumuombea ndugu yetu S. Wassira mwenyezi Mungu amuondoe kwenye usingizi kwani anapitwa na mengi sio ajabu atasahau hata njia ya kwenda kwao Tarime.
 
Wassira anajidanganya bure!
CDM inazidi kuiteka TANZANIA halafu magamba hawashtuki kwamba wanazidi kuwa uchi!!!!!
Ingekuwa vyema CCM wajipange ili mwaka 2015 wawe chama cha upinzani chenye nguvu.
 
Mimi binafsi naona mawaziri ambao wapo kutetea chama ni Lukuvi na Huyu jamaa kauli zao kila wanapopata nafasi kuisemea Cdm zinafanana. Hata hapa nimeona hii heading nikajua ni kawaida. Jamani wasira anatetea kibarua.
 
Mzee wa usingizi huyu, nadhani kama kawaida alikuwa amelala kwenye gari au ofisini. Ndipo alipoota ndoto hii ya mchana, na ya kihasidi.
 
Source:Majira Jumapili.
------------------------------------------------------------------------
UPDATES:
---------------
Wassira pia alimshambulia vikali Muasisi wa
CDM Edwin Mtei kwamba aliianzisha CDM kama kampuni ya kifamilia na kwamba hata sasa CDM ni NGO ya Edwin Mtei.

Siku hizi NGO zinasajiliwa na John Tendwa na zinatoa Wabunge?
 
Anatumia hilo tumbo kufikiria. Wenzake tunatumia vichwa. Ndivyo anavyomdanganya huyo jama wa kichwa cha nazi??:shock:
 
Hivi yule Jane kule hifadhi ya gombe huwa hafanyi sensa ya ile mifugo yake? Kuna mfugo mmoja una randa randa hapa mjini.
 
Back
Top Bottom