hakuna sababu ya kubishana na mataila kwani kuna formula ya kuaga watu selina kombani aliagwa karimjee, kigoda karimjee Makaidi karimjee sasa Mawazo kwenye viwanja vya chadema kuna ubaya gani hivi nyie ccm ubongo wenu una fangasiumesema kwenye mgorofa wake sio uwanjani wala ofice za chama na huyo mawazo mwanza sio kwake kwake ni geita